Hivi ndugu Wtz mnapotaka kujstify mawazo yenu huwa mnayafikiria marambilimbili.Shida ujui kama huyo jamaa ni jambazi au mla wake za watu ili anakwenda kupelekewa kiboga
Anyway watunga mitaala wawe wanapitia huku mitandaoni hasa mada hizi complex ili waone jinsi ya kumodify mitaala ili tupate CRITICAL AND ANALYTICAL BIG BRAINS watakaorithi na kuiendeleza hii nchi.
Vinginevyo huko siku za mbeleni hii nchi itakuja kutawaliwa na wageni kama uwezo wetu wa kufikiri utakuwa ni limited kiasi hiki.