Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha

Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha

Sawa kabisa, mwanausalama aliyeiva anakuwa na emotional intelligence na hufanya calculated moves sio kutoa silaha kiholela na kujiexpose .

Hao jamaa ninaamini wamekuta wanaowazunguka na kuchukua video ni waoga sehemu nyingine ingekuwa kama Tegeta kwa ndevu.
Huwezi ingia usiyojajua either ni jambazi au mla wake za watu kadakwa
 
Ningekua dereva wa Roli ningeenda kulipachika Kwa mbele, hafu nikafunga Gari, nikaondoka zangu....!

Then namwambia dreva mwingine akalipachike Kwa nyuma.
 
Sawa kabisa, mwanausalama aliyeiva anakuwa na emotional intelligence na hufanya calculated moves sio kutoa silaha kiholela na kujiexpose .

Hao jamaa ninaamini wamekuta wanaowazunguka na kuchukua video ni waoga sehemu nyingine ingekuwa kama Tegeta kwa ndevu.
Sehemu nyingine ipi??? Ndugu hii nchi UJASIRI UMENAJISIWA KINYUME NA MAUMBILE.

UKIONA M23 WANASHABIKIWA NA RAIA NA KUONEKANA MASHUJAA HUKO GOMA UJUE YALIANZAGA HIVIHIVI
.

Hatuna ujasiri darasani,kwenye lugha,kwenye midahalo serious,hatuna ujasiri kwenye maamuzi,internationaly,kwenye ma interview ni kituko hali ni tete.Tumenajisiwa tangu kuzaliwa tunaimbishwa propaganda ya kisiwa cha amani tu😀😀😀nchi ya asali na maziwa.

Ujasiri tulionao ni wa kudiscuss mada za ngono,mpira na kamari.A dead and savage nation!!!!
 
Wanaume wa pwani ni watu waoga sana na bahati mbaya wanajifanya wajuaji sana na ndio maana nitawakubali siku zote wanaume wa mkoa wa mara hasa wakurya .
Nakumbuka miaka ya 2000 kuja mpka 2008 askari au mwanajeshi tulikuwa tunamuona kama mgambo tu kwani kisu cha tumbo au shime moja tu ilikuwa inatosha kumziba mdomo na ubabe wake.
Na wakati wa jando (tohara) mwezi wa kumi na mbili tulikuwa tunafundishwa namna ya kukimbia kwa kukwepa risasi endapo umempiga askari.
Jakaya ndo alitukosea sana kutuletea kanda maalumu.
BHAMUR abantu bha pwani ni abarisia sana.
 
Hixo akili zako ndo akili za wakongo zilivyo hadi saivi wanashangilia nchi yao kutwkwa maeneo yake na M23.

Mnawaza upumbavu na ujinga tu kiasi akili zwnu haziwezi kabisa kupambanua masuala ya haki na utawala wa sheria
Shida ujui kama huyo jamaa ni jambazi au mla wake za watu ili anakwenda kupelekewa kiboga
 
Ningekua dereva wa Roli ningeenda kulipachika Kwa mbele, hafu nikafunga Gari, nikaondoka zangu....!

Then namwambia dreva mwingine akalipachike Kwa nyuma.
Tuanze karibisha mijadala ya tutazikabili vipi pisto mkuu, hizi nadharia nyingi za mrandaoni za watu ambao hatukua karibu na tukio hua na nguvu sana kwa kua hatukuwepo bila mkakati makini no progress. Ni kama kwenye maandamano tu, Kila mtu anakua yupo nje ya town au alikua ana-dharura
 
Kuna mawili sie hatujui hapa tulipo. Inawezekana huyu ni jambazi hakuna njia ingine ya kumkamata. Au kakataa kukamatwa akajibu makosa yake. Kwa Nini wamkamate hana hela hana unaarufu? Kuna watu wengi hapo wapita njia, Kwa nini wao hawakamatwi?
 
Wanaume wa pwani ni watu waoga sana na bahati mbaya wanajifanya wajuaji sana na ndio maana nitawakubali siku zote wanaume wa mkoa wa mara hasa wakurya .
Nakumbuka miaka ya 2000 kuja mpka 2008 askari au mwanajeshi tulikuwa tunamuona kama mgambo tu kwani kisu cha tumbo au shime moja tu ilikuwa inatosha kumziba mdomo na ubabe wake.
Na wakati wa jando (tohara) mwezi wa kumi na mbili tulikuwa tunafundishwa namna ya kukimbia kwa kukwepa risasi endapo umempiga askari.
Jakaya ndo alitukosea sana kutuletea kanda maalumu.
BHAMUR abantu bha pwani ni abarisia sana.
Toa way forward mkuu
 
Mojawapo ya swali gumu kwa sasa ni kutofautisha watanzania na nguruwe.
Huyu aliye record ni kabsa nguruwe aliyejinyea!
 
Daktari wa Tamisemi una jeuri kwakua mshahara umeingia unatukana hata watu huwajui
Mmezengua Sanaa sanaaa, kama ndo mpo hivo kujitoa CCM Madarakani ni kazi ngumu

Umiliki wa Bunduki na Bastola, Kwa asilimia 100 Kwa Sasa uko chini ya Dola.

Magufuli aliwanyang'anya watu Bunduki na Bastola zao.
 
Mmeshimdwa hata kutumia Lori lenu kugombea hiyo gari Yao ndogo wakakoswa namna ya kutóka??.

Mmeshindwa hata kuwagonga na gari Mmoja wao akavunjikia hapohapo??.

Dar na Pwani kumamaye zenu, mnakula mayai ya kisasa kiasi kwamba Hamna akili za Kupambana na changamoto chapchap.

Sasa kama Hilo wanawafanyia Mchana, ni vipi kuhusu usiku??.
Upo mkoa gani mkuu
 
Back
Top Bottom