VIDEO: Mtanzania akimkimbia traffic police Zimbabwe katika harakati za kuingia South Africa

VIDEO: Mtanzania akimkimbia traffic police Zimbabwe katika harakati za kuingia South Africa

Judah Tribe

Senior Member
Joined
Sep 1, 2024
Posts
159
Reaction score
594
Watanzania tunatia huruma Sana ukiiona video hii ni aibu we mtu anakimbilia porini hata hajali huko porini atakutana na nini.

JIANDAE KUKUTANA NA HAYA KAMA UTAHAMIA NCHI ZA WATU BILA PASIPOTI UTAISHI KAMA DIGI DIGI

Papers ni za muhimu Sana kwenye nchi za watu tusihamie kienyeji sana Ona huyu

Watanzania tunatia huruma Sana ukiiona video hii ni aibu we mtu anakimbilia porini hata hajali huko porini atakutana na nini.

Papers ni za muhimu Sana kwenye nchi za watu tusihamie kienyeji sana Ona huyu
Sasa na wewe huyo si mtanzania kwanza..mtanzania hawezi kukosa passport alafu akajiachia hivyo kwenye body huko nyuma.
 
Umejuaje kama ni mtanzania au umbeya tu

Tena afadhari ungenianbia wanawakimbia askari wa SOUTH AFRCA kweli ningeamini
Lakini hao wazimbabwe ni ela yako tu wala rushwa balaa yaan wana njaa kinoma
 
Amevaa kishamba sana. waTanzania hatuvai hivyo.

Wewe umetumia kigezo gani kuamini ni mTanzania au hiyo amapiano
 
Back
Top Bottom