Video: Mtanzania aliyefungwa miaka 10 Iran kisa kafuata huko mambo ya dini

Uelewa huru!

.Uislam ni uovu uliopakwa rangi ya wema wa kwenye vitabu na matendo na uvaaji!lakini hatma yake kuu ni akhera yaani kuzimu huko!!huko ndipo mtume muhammad na mfalme Suleiman walipo Hadi Leo wakisubiria hukumu ya moto pamoja na Lucifer!

2.ukristo ni wema uliopakwa uovu kimatendo hasta kibiashara na utawala wa ulimwengu,yaani dhumuni la mungu Kwa bin Adam ni ukristo lakini unapoteza mvuto Kila siku Kwa maovu yanayopakwa na maajenti was lucifer wanaoutumia kutawala na kufanya biashara na kutajirika!!

Hatma ya ukristo ni uzima was milele,kutawala pamoja na mungu na watakatifu wote,Kwa wenye kushinda vita ya kiroho hiyo Kali ndio watatawala na mhusika mkuu ambae ni mungu mwenyewe!!

Ukristo ni Imani iliyochafuliwa Sana taasisi za kidini!!

Ushahidiwapo watu waliofika kuzimu wakamkuta mtume Muhammad na king Solomon wakisubiri hukumu na hao ndio architect was freemasons duniani Hadi leo!!
 
Mleta mada wacha uchochezi. Na nyie wachangiaji acheni ujinga. Huyo jamaa anasema ni madini yaliwapelka Iran na sio masuala ya dini

Umeibuka wapi sheikh, unalazimisha visivyo, Mtanzania atoke Tanzania kwenda Iran kufuata madini, tulia utazame video na kuskliza kwa, makini.
 
Ni upumbavu wa hali ya juu kuleta video clip isiyoendeana na unachodai. Jamaa kahojiwa kasema alichokifuata eti ni dhahabu wakati kila mwenye akili timamu anajua kuwa ni "punda".
Aliondokea Nairobi kama punda wa kubebeshwa mihadarati.Akanaswa ma kufungwa miaka 15.Akatumikia 10.
Background yake alikuwa ni utingo asiyekuwa na ujuzi wala elimu ya dini.Na amejieleza vizuri kwenye hii clip.
Kwa chuki zako unainasabisha na dini wakati haina uhusiano wowote. Yeyote anayesikiliza atajua ujahili wako.Na wafuata mkumbo .

Wacha, kuwa mpumbavu, msikilize jamaa tangu mwanzo anasema walikwenda kama watu wa dini, sijui kwanini huwa mnatetea sana uchafu wa hiyo dini.
 
Umeibuka wapi sheikh, unalazimisha visivyo, Mtanzania atoke Tanzania kwenda Iran kufuata madini, tulia utazame video na kuskliza kwa, makini.
Kwa hiyo ulivyosikia watu wa dini ukaja kuanzisha uzi. Walipishikwa na hizo "dhahabu" haujasikia hapo. Dhahabu ni madini. Na kama walikwenda kwa masuala ya dini wangesema walifika wapi wakakutana na viongozi wepi wa dini. Mambo gani ya kiimaninwalufanya, n.k. Jipange tena mgalatia mwenzangu na ukubali umechemka
 
Wacha, kuwa mpumbavu, msikilize jamaa tangu mwanzo anasema walikwenda kama watu wa dini, sijui kwanini huwa mnatetea sana uchafu wa hiyo dini.
Sikiliza clip yote wewe popoma. Amekaa muda gani?Na aliposema ameletewa alichokitafuta.Kiswahili kinakupiga chenga poyoyo.Sikiliza clip yote au hauna bando?
 
Sikiliza wewe zwazwa jamaa amesema walikwenda kama watu wa dini, tena anasema kuhiji, hilo limetosha, mengine hayana umuhimu.
 
Waislamu wanahiji Iran?Kafungwa kwa kosa lipi umesikia kwenye clip?Kwenye clip kasema eti Iran wanaamini kwamba ukimwi unaambukiza kama malaria!
Hajui hata wairan wanadhehebu gani ndio unataka kutuaminisha alikwenda kwa sababu ya dini?Njoo na gia nyingine mgalatia mjinga hata wenzako wamekukataa kwenye uzi huu.
Wisdom is chasing you but you are always faster.
 
Kwa hiyo unataka tufuate dini yako? Mbona hata ushawishi hauna kabisa 😅😅😅.

Tatizo lenu wapakwa mafuta mnaongelea humu kwa uoga mkivaa yale mashati ya satini na mchongoko ,miguu mnatembea kama mna funza ..

Ila mna madhehebu kama laki mpaka Mwamposa ji mtume 😅
Kwahiyo uislamu hauna madhehebu?
 
Waislamu wanahiji Iran?Kafungwa kwa kosa lipi umesikia kwenye clip?Kwenye clip kasema eti Iran wanaamini kwamba ukimwi unaambukiza kama malaria!
Hajui hata wairan wanadhehebu gani ndio unataka kutuaminisha alikwenda kwa sababu ya dini?Njoo na gia nyingine mgalatia mjinga hata wenzako wamekukataa kwenye uzi huu.
Wisdom is chasing you but you are always faster.
Andika kwa kiarabu binti sasa mbona unaandika kizungu?
 
Wewe mjinga kuandika kizungu ndio nini wewe fala?Ukitaka kuleta mada za kutukana utazipata kama huna cha kuandika kaa kimya.Punguani.
 
Muhimu hii iwafikie wafia dini wa JF ambao hupenda sana kuabudu watu wa Iran na Uarabuni.... kuvaa kwako kanzu na kuotesha ndevu ili ufanane na wale haitoshi, ukiingia kwenye anga zao wanakuua, walimuua Mtanzania mmoja na kumtesa mwenzake.

View: https://youtu.be/PC0e170GSug?si=ZHbPD25IF4W7Cz_h

Utakuwa unafir..wa mida hii

Hemu wajuvi mnisaidie hivi inakuwaje swala la kumuabudu mwenyezi Mungu muumba wetu linahusisha na mambo sijui ya jihad mara kuchinjana nyuma ya shingo mara kujitoa mhanga? NI KWELI HIZI HEKA HEKA ZINA BARAKA ZA MUNGU?
Hivyo vitu umeshaaminishwa na hao wazungu wako ni ngumu sana kukusaidia wewe amini unachoamini ila hujiulizi hao wazungu wako wanatafuta nini nchi za kiarabu kila siku? Gaddafi alikuwa zaidi wale waliomuua nani aliwatengeneza ? Congo hawa m23 wanapata wapi silaha na hela za kupigana miaka yote hii, mkienda shule muwe mnaenda kuelimika siyo kukariri
 
Uelewa huru!

.Uislam ni uovu uliopakwa rangi ya wema wa kwenye vitabu na matendo na uvaaji!lakini hatma yake kuu ni akhera yaani kuzimu huko!!huko ndipo mtume muhammad na mfalme Suleiman walipo Hadi Leo wakisubiria hukumu ya moto pamoja na Lucifer!

2.ukristo ni wema uliopakwa uovu kimatendo hasta kibiashara na utawala wa ulimwengu,yaani dhumuni la mungu Kwa bin Adam ni ukristo lakini unapoteza mvuto Kila siku Kwa maovu yanayopakwa na maajenti was lucifer wanaoutumia kutawala na kufanya biashara na kutajirika!!

Hatma ya ukristo ni uzima was milele,kutawala pamoja na mungu na watakatifu wote,Kwa wenye kushinda vita ya kiroho hiyo Kali ndio watatawala na mhusika mkuu ambae ni mungu mwenyewe!!

Ukristo ni Imani iliyochafuliwa Sana taasisi za kidini!!

Ushahidiwapo watu waliofika kuzimu wakamkuta mtume Muhammad na king Solomon wakisubiri hukumu na hao ndio architect was freemasons duniani Hadi leo!!
Hao wanaolazimisha wanaume muoane ndio waliotunga bible sasa kazi unayo na hapo ndio utajua nani shetani na nani anasimamia haki, haya maiigizo yenu ya kwaresma hivi hata mnayafuata au ndio bora siku ziende?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Uelewa huru!

.Uislam ni uovu uliopakwa rangi ya wema wa kwenye vitabu na matendo na uvaaji!lakini hatma yake kuu ni akhera yaani kuzimu huko!!huko ndipo mtume muhammad na mfalme Suleiman walipo Hadi Leo wakisubiria hukumu ya moto pamoja na Lucifer!

2.ukristo ni wema uliopakwa uovu kimatendo hasta kibiashara na utawala wa ulimwengu,yaani dhumuni la mungu Kwa bin Adam ni ukristo lakini unapoteza mvuto Kila siku Kwa maovu yanayopakwa na maajenti was lucifer wanaoutumia kutawala na kufanya biashara na kutajirika!!

Hatma ya ukristo ni uzima was milele,kutawala pamoja na mungu na watakatifu wote,Kwa wenye kushinda vita ya kiroho hiyo Kali ndio watatawala na mhusika mkuu ambae ni mungu mwenyewe!!

Ukristo ni Imani iliyochafuliwa Sana taasisi za kidini!!

Ushahidiwapo watu waliofika kuzimu wakamkuta mtume Muhammad na king Solomon wakisubiri hukumu na hao ndio architect was freemasons duniani Hadi leo!!
Hii kali!!!!
 
Back
Top Bottom