Video: Mtanzania aliyefungwa miaka 10 Iran kisa kafuata huko mambo ya dini

Video: Mtanzania aliyefungwa miaka 10 Iran kisa kafuata huko mambo ya dini

Sikiliza wewe zwazwa jamaa amesema walikwenda kama watu wa dini, tena anasema kuhiji, hilo limetosha, mengine hayana umuhimu.
Each and everyday humu JF watu wanakuita wewe ni primitive lakini kumbe ni double primitive.
I have a question for you; Hivi ulishawahi kusafiri nje ya Africa?
Pumbafffff.
 
Uislamu hauhusiki na hayo mambo ,nakupa uhakika kame ungekuwa unahusika usingkuwa hata kidogo mpaka nchi za Europe.

Ishu ni moja tu unatakiwa kuusoma uislamu basi ...

Mpaka sasa marafiki zangu nao wamekuwa waislamu jaribu kukaa chini na kuusoma , uislamu haufuati idiols ni Qur na sunnah ...
 
Kwa nini wa dini zingine hawakwambii uisome dini yao?Dini ya mtu inaonekana kupitia matendo yake na si vitabu.Sisi kupitia waislam wa humu tunaona jazba,matusi,kejeli,vitisho,dharau na mengineyo mengi mabaya ambayo output yake ni mauaji na kutaka kulazimisha watu kufuata dini yenu kwa nguvu.
Yesu alisema "Mtawaona kwa matendo yao"
 
Sikiliza wewe zwazwa jamaa amesema walikwenda kama watu wa dini, tena anasema kuhiji, hilo limetosha, mengine hayana umuhimu.
😆😆😆Jomba utakonda wenzio wanafunga ,wanafanya toba mwezi wa kwaresma,ww uko busy na waislamu.

Yaani mpaka roho imejaa chuki ,sura imepoteza nuru kujishughulisha na mambo ya wengine.

Punguza panic dogo!
 
Muhimu hii iwafikie wafia dini wa JF ambao hupenda sana kuabudu watu wa Iran na Uarabuni.... kuvaa kwako kanzu na kuotesha ndevu ili ufanane na wale haitoshi, ukiingia kwenye anga zao wanakuua, walimuua Mtanzania mmoja na kumtesa mwenzake.

View: https://youtu.be/PC0e170GSug?si=ZHbPD25IF4W7Cz_h

kijana wacha kuleta habari za kichwani mwako.
kakamatwa kwa wizi wa dhahabu wewe hivi unajiona wewe peke yako ndio umeona hiyo clip?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Waislamu wanahiji Iran?Kafungwa kwa kosa lipi umesikia kwenye clip?Kwenye clip kasema eti Iran wanaamini kwamba ukimwi unaambukiza kama malaria!
Hajui hata wairan wanadhehebu gani ndio unataka kutuaminisha alikwenda kwa sababu ya dini?Njoo na gia nyingine mgalatia mjinga hata wenzako wamekukataa kwenye uzi huu.
Wisdom is chasing you but you are always faster.

Sikiliza clip kama umetulia tena pumua taratibu utasikia akieleza masuala ya kuhiji, mnatetea sana uchafu wenu huo.
 
😆😆😆Jomba utakonda wenzio wanafunga ,wanafanya toba mwezi wa kwaresma,ww uko busy na waislamu.

Yaani mpaka roho imejaa chuki ,sura imepoteza nuru kujishughulisha na mambo ya wengine.

Punguza panic dogo!

hehehe ndio umeandika nini, naona unavyoteseka kumjibu kila mtu kwenye huu uzi, hehehe pole ila huo uchafu wenu utasemwa tu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom