Video: Muonekano wa Tundu Lissu alivyofikishwa Mahakamani leo Aprili 30, 2026

Video: Muonekano wa Tundu Lissu alivyofikishwa Mahakamani leo Aprili 30, 2026

Wengi wamemuignore

Hata mimi kuna wakati nilitaka kuyaignore haya mashetani yanayofurahia kuuliwa kwa wanadamu wenzao, lakini nikayaacha ili kuona kama kuna lolote ambalo labda kuna siku litageuka na kuurudia ubinadamu. Lakini haya majitu yote yaliyobeba roho ya shetani: Tlaatlaah and the like, tuyape tu muda japo wa mwezi mmoja zaidi, kama yataonekana kuendelea kuzama kwenye ushetani wao, ni aheri kuya-ignore yote.

Bakiza tu wajenzi wa hoja hata kama ni hoja kinyume cha mapendeleo yako. Lakini haya yanayofurahia vifo vya wanadamu wenzao, na mengine yalishiriki mpaka kwenye vitendo hivyo vya kuua, kuendelea kubishana nayo hapa JF, ni kujitia unajisi.
 
Hapo akifikiria michango yake imetafunwa na wahuni ndani ya chama lazima imchanganye sana na kuwa na stress kama anavyoonekana videoni. Ninamsihi Mama Samia amsamehe Lissu endapo ataomba msamaha na kuahidi kujirudi.
 
Wanatumia jina lake kuchangisha mipesa uruma ya wanachama kwa Lissu kuna wenye kuitazama kama fursa ndani Chama icho icho!!!

Inasikitisha!!!!!!!!

Kaka wa Lissu baada ya kujua Moyo wake ukasema hapana !!!

kaenda kuwashtaki polisi !!
Polisi iyo iyo ikatoa msaada mzuri kwa kuwakamata wausika wote!!!

Lkn polisi imeundwa na Serikali ya CCM!
 
Back
Top Bottom