Wengi wamemuignoreHuyu kima pamoja na kima wenzake kadhaa, kitambo sana niliwaweka kwenye ignore list yangu. Hivyo kwa namna moja au nyingine nimepata ahueni ya kutokuyaona matapishi yao.
Na mimi nilikuwa nampango huo nikaona nimuache ili nione ujinga wake una level gani.Wengi wamemuignore
calm down gentleman,The desires of a fool
Wengi wamemuignore
Sasa "mwonekano" maana yake ni nini; nywele?Leo April 30, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefikishwa tena mahakamani kuendelea na kesi yake.
Soma pia Mahakama yakataa Lissu kuunganishwa kwenye kesi ya Chadema iliyofunguliwa na Said Issa Mohamed na wenzake
Wanatumia jina lake kuchangisha mipesa uruma ya wanachama kwa Lissu kuna wenye kuitazama kama fursa ndani Chama icho icho!!!Hapo akifikiria michango yake imetafunwa na wahuni ndani ya chama lazima imchanganye sana na kuwa na stress kama anavyoonekana videoni. Ninamsihi Mama Samia amsamehe Lissu endapo ataomba msamaha na kuahidi kujirudi.
Leo April 30, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefikishwa tena mahakamani kuendelea na kesi yake.
Soma pia Mahakama yakataa Lissu kuunganishwa kwenye kesi ya Chadema iliyofunguliwa na Said Issa Mohamed na wenzake