Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
- Thread starter
- #61
Hao wote ni viongozi wa vikundi sio serikali au nchi so kuna tofauti kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wote ni viongozi wa vikundi sio serikali au nchi so kuna tofauti kubwa
Raisi alifia kwenye ajali, ingekua assassination sidhani kama Iran wangeihurumia Israel. Ingebaki majivu
Mwache tuu uskatili ndoto zake kwani jeshin wanapofundishwa kutumia silaha nikwajili yakuulia maadui so nayeye siku nchiyake ikiwa adui ajue kifuatacho nini wanajeshi nimuhim sana kwanch yoyote tunamkaribisha huyo chipkizi aje tumwachie mikobaInaumiza sana, mwanangu anaipenda sana hii Kaz,bas mi namwangalia