Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Bonge la uwasilishaji hakika Tundu lisu nje ya mambo machache yanayo mkosesha heshima lkn ni mtu anayefahaa sana kuwa kiongozi tena mkubwa.
Jamaa ni mtaalam sana wa kujenga hoja tatizo lake ni ukali wa maneno.
Angalia hiyo video namna alivyokuwa anaongea unaona kabisa huyu mtu anao uchungu wa rasilimali zetu.
Ninachompendea TL siyo mnafiki.
Jionee mwenyewe kuanzia dakika ya nane alivyowasulubu Viongozi wezi wa kipindi kile.