Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
TL ni mwanasiasa asiye mnafiki japokuwa anayo mapungufu yake kama binadamu.ACHA KUPOTEZA MB ZA WATU KWA VITU VYA AJABU AJABU
Mm CCM ila Tundu!He was born for a purpose.
Chawa hawakosekani kwenye nyuzi kama hizi.ACHA KUPOTEZA MB ZA WATU KWA VITU VYA AJABU AJABU
ili unfinished job imaliziwe?Kinachoendelea kumfanya ahemewe na amsterdam ni nini?
Si arudi tu Tanzania
NI WATU WACHACHE KAMA WEWE NA MIMI NA WENGINE WACHACHE TUNAWEZA KULIONA HILO, THE REST 99.999% CAN NOT SEE THIS TALENTHe was born for a purpose.
...kuanzia dakika ya 4 nilifurahi sana alivyowasulubu wezi
Aacha kutuharibia nchi CHAWA MKUBWAACHA KUPOTEZA MB ZA WATU KWA VITU VYA AJABU AJABU
Hao watu wamefananishwa na uzao wa panya, woote ni WEZI..View attachment 2059723
Bonge la uwasilishaji hakika Tundu lisu nje ya mambo machache yanayo mkosesha heshima lkn ni mtu anayefahaa sana kuwa kiongozi tena mkubwa.
Jamaa ni mtaalam sana wa kujenga hoja tatizo lake ni ukali wa maneno.
Angalia hiyo video namna alivyokuwa anaongea unaona kabisa huyu mtu anao uchungu wa rasilimali zetu.
Ninachompendea TL siyo mnafiki.
Jionee mwenyewe kuanzia dakika ya nane alivyowasulubu Viongozi wezi wa kipindi kile.
Upstairs sasa #dishlimetiltHe was born for a purpose.