Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pascal Mayalla habari hiyo imezingatia haki za mtoto kwa maadili ya uanahabari?Kijana mdogo ambae anasoma kidato cha pili amekamatwa na Wananchi baada ya kufanya uharifu wa kuibia watu mali zao.
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2886005
📹 Swa
Mbeya mwalimu wa shule ya msingi amekamatwa kwa wizi wa kuvunja nyumba za watu, huyu nadhani alikuwa anfanya praktiko ya fiziksi, f(fosi)+pawa =Kijana mdogo ambae anasoma kidato cha pili amekamatwa na Wananchi baada ya kufanya uharifu wa kuibia watu mali zao.
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2886005
📹 SwahiliTimes
Mtu aibe alafu uje utuletee haki za habari, tena ashukuru Mungu mitaa mingine wangemla kisamvu huyo dogoPascal Mayalla habari hiyo imezingatia haki za mtoto kwa maadili ya uanahabari?
Dogo anaongea sana anawapiga kamba tu huyu kesho anaingia mzigoni kama kawa yaani mtoto wa 2006 bado yupo 4m2 ? Ni muhuni mzoefu kabisa.Kijana mdogo ambae anasoma kidato cha pili amekamatwa na Wananchi baada ya kufanya uharifu wa kuibia watu mali zao.
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2886005
📹 SwahiliTimes
Umetazama vyema sana Mkuu, kijana anatufaa sana ni mwanaume haswa basi tu makuzi na hali ya maisha.dogo anajielewa vizuri sana tena very confident. hali ngumu za maisha zinapoteza uelekeo wa vijana
Hak hizo hizo ndizo zinazo chochea ndoa za jinsia moja huo ujinga wa haki ni upofu mwingine kila mtu ahukumiwe kwa makosa yake.Pascal Mayalla habari hiyo imezingatia haki za mtoto kwa maadili ya uanahabari?
Nani alisema imani ndiyo mwarobaini? Hivi jela hakuna walokole?Inasikitisha Sana.
Wazazi Tuendelee Kupambana Katika Malezi Bora Yaliyoambatana Na Kumjenga Mtoto Katika Misingi Ya Kiimani Itasaidia Kuwa Na Makuzi Yenye Hofu Ya Mungu