Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani alisema imani ndiyo mwarobaini? Hivi jela hakuna walokole?
Vikoba vinaharibu familia balaah ni zaidi ya bangi.Wamama tupunguze vikoba tulee tuwe na muda wa kulea watoto wetu....
Mtoto mpumbavu ni mzigo wa mamaye...
Yani ni uraibu uliopitiliza...Vikoba vinaharibu familia balaah ni zaidi ya bangi.
Hata shule atakuwa alichelewa maana kama ana miaka 17 hakutakiwa kuwa kidato cha pili na badala yake alitakiwa kuwa amemaliza kidato cha nne.Kataiba tu tena. Hako kana 17. Kakifika 20 kana bahati.