Video: Mwanafunzi wa Secondary akamatwa na wananchi kwa Wizi

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Kijana mdogo ambae anasoma kidato cha pili amekamatwa na Wananchi baada ya kufanya uharifu wa kuibia watu mali zao.

ANGALIA VIDEO HAPA
Your browser is not able to display this video.


📹 SwahiliTimes
 
Kijana mdogo ambae anasoma kidato cha pili amekamatwa na Wananchi baada ya kufanya uharifu wa kuibia watu mali zao.

ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2886005

📹 SwahiliTimes
Mbeya mwalimu wa shule ya msingi amekamatwa kwa wizi wa kuvunja nyumba za watu, huyu nadhani alikuwa anfanya praktiko ya fiziksi, f(fosi)+pawa =
 
dogo anajielewa vizuri sana tena very confident. hali ngumu za maisha zinapoteza uelekeo wa vijana
Umetazama vyema sana Mkuu, kijana anatufaa sana ni mwanaume haswa basi tu makuzi na hali ya maisha.
 
uyu ili ibid apigwe kisawa sawa ili anapoomba msamaha awe anamaanisha hapo inaonekana anajitetea tu bado kataendelea na wizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…