Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jan 28, 2024 #21 Duh aiseee
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,855 Reaction score 189,385 Jan 28, 2024 #22 Itasaidia Katika Asimilia Zake Mkuu. Filosofia ya Rorya said: Nani alisema imani ndiyo mwarobaini? Hivi jela hakuna walokole? Click to expand...
Itasaidia Katika Asimilia Zake Mkuu. Filosofia ya Rorya said: Nani alisema imani ndiyo mwarobaini? Hivi jela hakuna walokole? Click to expand...
sengobad JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 9,008 Reaction score 8,788 Jan 28, 2024 #23 Kalpana said: Wamama tupunguze vikoba tulee tuwe na muda wa kulea watoto wetu.... Mtoto mpumbavu ni mzigo wa mamaye... Click to expand... Vikoba vinaharibu familia balaah ni zaidi ya bangi.
Kalpana said: Wamama tupunguze vikoba tulee tuwe na muda wa kulea watoto wetu.... Mtoto mpumbavu ni mzigo wa mamaye... Click to expand... Vikoba vinaharibu familia balaah ni zaidi ya bangi.
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Jan 28, 2024 #24 sengobad said: Vikoba vinaharibu familia balaah ni zaidi ya bangi. Click to expand... Yani ni uraibu uliopitiliza...
sengobad said: Vikoba vinaharibu familia balaah ni zaidi ya bangi. Click to expand... Yani ni uraibu uliopitiliza...
Nyaka-One JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 4,730 Reaction score 6,736 Jan 28, 2024 #25 Lycaon pictus said: Kataiba tu tena. Hako kana 17. Kakifika 20 kana bahati. Click to expand... Hata shule atakuwa alichelewa maana kama ana miaka 17 hakutakiwa kuwa kidato cha pili na badala yake alitakiwa kuwa amemaliza kidato cha nne.
Lycaon pictus said: Kataiba tu tena. Hako kana 17. Kakifika 20 kana bahati. Click to expand... Hata shule atakuwa alichelewa maana kama ana miaka 17 hakutakiwa kuwa kidato cha pili na badala yake alitakiwa kuwa amemaliza kidato cha nne.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 28, 2024 #26 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jan 28, 2024 #27 Hao mnawaonea tu. Wezi halisi tumewakabidhi ofisi za uma na mwakani tunawapigia kura waendelee kutuibia.
Hao mnawaonea tu. Wezi halisi tumewakabidhi ofisi za uma na mwakani tunawapigia kura waendelee kutuibia.