The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,360
- 6,922
Ina maana hao wengine hawakudhurika, kwamba mafuta ya transformer kwenye chips kuna watu yanawadhuru na wengine wanapeta tu?Wakuu mko poa,
Sasa leo nimekutana na video ya simulizi ya mwanadada anaeitwa Agatha ambae inasemekana kua yeye na wenzake walikula chips zilizokaangwa kwa mafuta ya transfoma aise ni huzuni.
kwani hata wanaovuta sigara wote wanaugua mapafu ?! Kwamba kuna watu nikotin ya sigara inawadhuru na wengine haiwadhuru ?! KWAHIYO HATA SIGARA SIO HATARI NA HAINA MADHARA KWA KUA SIO WOTE WANADHURIKA ?!Ina maana hao wengine hawakudhurika, kwamba mafuta ya transformer kwenye chips kuna watu yanawadhuru na wengine wanapeta tu?
Ulishawahi kuona simulizi ya yule aliyebadilika ngozi kwa sababu ya Metakelfin wangapi tumezitumia ?Ina maana hao wengine hawakudhurika, kwamba mafuta ya transformer kwenye chips kuna watu yanawadhuru na wengine wanapeta tu?
Duhhhh!! So sad lo!
kabisaTunalishwa uchafu sana MPANGO nikujipikia kwako tu, pika kwako kula na kama ni kula basi kale sehemu zinazo aminika, MUNGU atuepushe