Video: Mwanamke anaswa akiweka chupi kwenye chakula

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Your browser is not able to display this video.


Kwa kawaida watu wa mitandaoni hupenda kushabiki mambo, lakini katika hili wanaonekana kukerwa na video ambayo inaonesha mwanamke mmoja akivua nguo yake ya ndani na kuiweka kwenye sufuria la mboga jikoni.

Katika video inayosambaa kwa kasi ya ajabu, mwanamama huyo ambaye tabia yake hiyo imetajwa kuwa si ya kistaarabu anaonekana hadharani akiwa nje akiandaa kitoweo kwenye jiko la kuni.

Lakini jambo linaloshtua wengi ni kumuona anavua nguo hiyo na kuitia kwenye sufuria ya kitoweo kilichokuwa kikitokota na kuanza kukikoroga kwa haraka.

Kisha baada ya hapo anafunika sufuria ya kitoheo na kukiacha kuchemke zaidi. Mwanamke huyo anaonekana akimfukuza mtoto mdongo pindi tu anapomletea bakuli na kuanza kukoroga mchuzi huo.

Video hiyo ambayo kwa mara ya kwanza ilipostiwa mtandao wa Twitter ikiwa na sekunde 59, imeonekana kuwachefua roho wanamitandao wengi wakionekana kuapa kutokula vyakula vya kwenye baadhi ya vibanda vya mama ntilie.

Wazee tuwe makini
 
Duh! Hiyo video inachefua Sana kwa kweli. Huo Ni uchawi wa kiwango Cha lami asiee!!
 
Leo nilikuwa nataka kupita kula Kwa mama ntilie nimagaili [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Sijui anaroga nin hapo na kumi zake?
 
Afu utashangaa watu wanasema bora mwanamke goalkeeper😳
 
Iyo ndo maana unakuta chakula kitamu mi uwa nawaambia chakula chako kitamu kama naniliuu yako wanacheka umeionjaa, wengine ninanotis wanapika ila uchi unakuwa umeelekea jungu la chakula, nilishawah ona mama ntilie jungu la wali lipo chini ya meza alafu gauni lake kajiachia wazi kwaiyo k inaeleka ktk jungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…