Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Uwepo wa tume huru sio kwa faida ya wapinzani tu, mwananchi yoyote mwenye akili timamu na kujielewa anatakiwa kupigania uwepo wa tume huru.
Kwanini unadhani viongozi hao ni lazima wawe viongozi wa upinzani tu ?Unajua maana ya uongozi wewe? Hata migomo ya sekondari huwa na viongozi, sembuse jambo kubwa kama hili?
Na jeshi la akiba lenye silaha za kivita kama walilonalo maccm ?
Bila matumizi ya nguvu wagombea wa upinzani hawatatangazwa washindi.
Kaijage ni Mwenyekiti wa NEC na huyu Mahera ni mkurugenzi wa uchaguzi.Wakuu msaada tofauti ya Huyo na Jaji kaijage ki vyeo ukoje?
Hamshindi Lissu aisee!Huyu mtu ni hatari sana!!!
Si alikula kiapo huyuMkuu,
kwanza naomba ufahamu mambo mawili ya muhimu sana kuhusu Tanzania
1. lazima ushabikoe Timu moja ya mpira kati ya Simba au Yanga
2. Lazima ushabikie Chama Tawala au upinzani
Kila Mtanzania anachama ambacho anakikubali so huwezi mpaka Mtanzania ambaye hana Chembe za hivyo vitu
Kwanini unadhani viongozi hao ni lazima wawe viongozi wa upinzani tu ?
Mbona twitter kuna watu kadhaa wanaendesha mobilization ya ku demand Free Electoral commission lakini hamuwapi support yoyote au kwa kuwa sio wanasiasa ?
Tatizo linakuja pale unapodai tume huru, unayemdai aunde ndiye huyo huyo mwenye mamlaka ya kutoa maamuzi.
Hapa sio kurudia tu uchaguzi bali vigeuzwe kuwa majivuUsikate pumzi mapema na usikate tamaa... CCM inatumia nguvu nyingi na sio akili...
Vituo vitakavyochakachua matokeo uwezekano mkubwa uchaguzi kurudiwa...
Uongozi wa NEC ni km uongozi wa TFF huwezi pata mtu neutral asiefungamana na upande wowote..kikubwa ana tenda vp haki baada ya kupata uongozi?[emoji2369][emoji2369]
Watanzania wanaongoza kwa kuogopa mabadiliko duniani na ulimwengu.Kwani Kenya na Malawi ilikuwaje? Moi na Kamuzu Banda hawakuwa na mamlaka ya kutoa maamuzi? Watanzania tunajiendekeza sana. Yaani mpaka NEC ya CCM inafuta matokeo na kutangaza uchaguzi mpya (2015) tunasikilizia tu. Mambo mengine ni Tanzania tu.
Hapa sio kurudia tu uchaguzi bali vigeuzwe kuwa majivu
CCM wamebaka nchi hii mpaka, haina matumaini tenaWapwa
Sina mengi, Hi ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa
Ruge aliwahi kusema
"Ogopa Mungu na Teknolojia"
Toa maoni
View attachment 1564550
Watu wana mahaba na liccm kuliko taifa lao, Chadema shall act accordingly in any blunderPale damu za wengi zikimwagika ndio ukweli utajulikana... Na kwa nn watu wachache wapoteze amani ya nchi kwa mahaba yao na chama wanacho kipendelea...
Mmmmmmm hili ;kwanza kabisa ,liongezwe kwenye maajabu ya Dunia,Pia litangazwe kama kivutio cha utalii nchini,ndo tujadili sasa.Wapwa
Sina mengi, Hi ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa
Ruge aliwahi kusema
"Ogopa Mungu na Teknolojia"
Toa maoni
View attachment 1564550