Uchaguzi 2020 Video: Mwangalie Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Uchaguzi (NEC) kisha toa maoni yako

Uchaguzi 2020 Video: Mwangalie Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Uchaguzi (NEC) kisha toa maoni yako

Unajua maana ya uongozi wewe? Hata migomo ya sekondari huwa na viongozi, sembuse jambo kubwa kama hili?
Uwepo wa tume huru sio kwa faida ya wapinzani tu, mwananchi yoyote mwenye akili timamu na kujielewa anatakiwa kupigania uwepo wa tume huru.
 
Unajua maana ya uongozi wewe? Hata migomo ya sekondari huwa na viongozi, sembuse jambo kubwa kama hili?
Kwanini unadhani viongozi hao ni lazima wawe viongozi wa upinzani tu ?

Mbona twitter kuna watu kadhaa wanaendesha mobilization ya ku demand Free Electoral commission lakini hamuwapi support yoyote au kwa kuwa sio wanasiasa ?
 
Mkuu,
kwanza naomba ufahamu mambo mawili ya muhimu sana kuhusu Tanzania
1. lazima ushabikoe Timu moja ya mpira kati ya Simba au Yanga
2. Lazima ushabikie Chama Tawala au upinzani

Kila Mtanzania anachama ambacho anakikubali so huwezi mpaka Mtanzania ambaye hana Chembe za hivyo vitu
Si alikula kiapo huyu
 
Kwani Kenya na Malawi ilikuwaje? Moi na Kamuzu Banda hawakuwa na mamlaka ya kutoa maamuzi? Watanzania tunajiendekeza sana. Yaani mpaka NEC ya CCM inafuta matokeo na kutangaza uchaguzi mpya (2015) tunasikilizia tu. Mambo mengine ni Tanzania tu.
Tatizo linakuja pale unapodai tume huru, unayemdai aunde ndiye huyo huyo mwenye mamlaka ya kutoa maamuzi.
 
Kwani Kenya na Malawi ilikuwaje? Moi na Kamuzu Banda hawakuwa na mamlaka ya kutoa maamuzi? Watanzania tunajiendekeza sana. Yaani mpaka NEC ya CCM inafuta matokeo na kutangaza uchaguzi mpya (2015) tunasikilizia tu. Mambo mengine ni Tanzania tu.
Watanzania wanaongoza kwa kuogopa mabadiliko duniani na ulimwengu.
 
Kwakuwa anafuata katiba na sheria zilizopo kutimiza majukumu yake ya sasa tatizo ni nini.. hamna tatizo
 
Wapwa
Sina mengi, Hi ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa

Ruge aliwahi kusema
"Ogopa Mungu na Teknolojia"

Toa maoni

View attachment 1564550
Mmmmmmm hili ;kwanza kabisa ,liongezwe kwenye maajabu ya Dunia,Pia litangazwe kama kivutio cha utalii nchini,ndo tujadili sasa.
 
Back
Top Bottom