Video: Mwijaku kavuka mpaka Serikali ingilieni kati tunaaibika

Mkuu,

Mimi nilijuwa naalikwa na balozi kwenda kukaa na rais karibu, nyumbani kwa balozi.

Na kila mara nilikuwa natoa udhuru, siendi.

Naona kama unanichukulia poa sana.
Kiongozi
Ni katika kuuliza tuu
 
hapo kwenye usomi ndio kitendawili, sema alihudhuria darasani tu. maarifa hakupata kabisa. Ngengemtoni huyo
 
CCM waingilie kati
 
Na tumbo lake hilo kama fuko la samadi
 
Mkewe wa migombani ndio anamfundisha hivyo ili apate pesa.
 
Acha ujinga

Mwijaku yuko kazini.

Mwijaku anachofanya ndio taaluma yake aliyosomea chuo kikuu udsm
 

DC Mwijaku hawajui vizuri watoto wa Biden ,asirudie kufanya upuuzi huo tena atakuja kufumuliwa FUVU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…