Video na Picha: Ushahidi kuhusu yaliyotokea kwa Jaji Warioba wakati na baada ya vurugu, Ubungo Plaza

Mleta mada umevurugwa tena umevurugukiwa kabisaaa! Paul Makonda alikuwa hamsaidii Amon Mpanju. Kama alikuwa ana NIA ya dhati ya kumsaidia basi angelisimama mbele yake ili asidhulike. Paul Makonda alimtumia Amon Mpanju kama KINGA YA KUJINUSURU na kipigo baada ya kuanzisha FUJO NA KUNDI LAKE. Picha inajieleza bayana. Alafu, kwa hao vijana unaosema walikuwa wanaonyesha Mabango yao yenye jumbe mbali mbali, kuna UHUSIANO gani wa kusimama na kupiga kelele za CCM.. CCM.. CCM na kuonyesha mabango yao huku wakiwa wanapanda na kusimama juu ya viti? Je, hiyo ndo namna ya kufikisha ujumbe? Jipange upya kabisaa ndo uje hapa mwehu wewe! Hata hivyo kichapo alikipata na bado vijana wanaoipenda Tanzania yao wako tayari KUZAA NAE WAKIMTIA MIKONONI.
 
Sindano inamuuma sana huyu mgonjwa ssm. Tutaendelea kumdunga tu Hatakama ni ya sumu
 

Hii hapa hajaika kwanini?
 

Attachments

  • Warioba.jpg
    87.7 KB · Views: 330
Alama za nyakati zipi while Wamehost huo mkutano kama raia wengine ila wao walikua na nia ya kuwahabarisha watu wajue undani wa katiba na sio kupelekwa. Naomba muwe mnafikiria na sio kuongea tu mana kila mwananchi ana uhuru wake na yeye kautumia huo uhuru ili kuwahamasisha watanzania wasome well katiba na kuielewa na si kuburuzwa.

Mnaboa watu kama nyie na ndio mana nchi haipigi hatua kwa sababu ya watu wenye mawazo mgando kama wewe
 
huyo kijana makonda angeangalia akina twabwe hiza wapo wapi siku hizi na
 
Kama hukubaliani na hoja anayotoa mwenzako dawa ni kutoa hoja mbadala yenye nguvu zaidi au kujiondoa kwenye majadiliano naye. Kuanzisha vurugu kwa sababu tu hukubaliani na hoja za mwenzako ni kiwango cha china kabisa cha kufikiri. Kwa lugha sahihii ni unyani.
 
Hakukuwa pia na sababu ya upande mwingine pia kuingia na mabango na kuyatoa ukumbini. Nina hakika kungekuwa na muda wa mjadala ambapo pande zote Wangetoa maoni yao kuliko walivyotenda.
 

vp mbona hujaweka ile makonda akimpiga mkuu
 
a country iliyojaa ignorants... mtu na akili zake anatumia violence kiasi hicho what for?? Honestly kuna measures nyingi sana watu wangechukua maana hii ya kurushiana viti haisaidii chochote, n even worse ni ile walikua wanarushiana wao kwa wao... Hahaha! i pity these guys!
 
mi nilishuhudia jamaa anarusha mateke kama checknoris , lile teke lingempata makonda haki ya mungu leo tungekuwa tunazungumza mengine. tushukuru tu mungu wote wazima
 

Ndiyo wasomi wetu hawa.Sijui bongo zao zinakuwa zimeingia maji.
 

kweli kabisa
 
Makonda uliwahi kuwadanganya watu Moshi kuwa wewe ni mlokole lakini wapi, tumekujua sasa. Mtu asiyewaheshimu hata wazee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…