Mleta mada umevurugwa tena umevurugukiwa kabisaaa! Paul Makonda alikuwa hamsaidii Amon Mpanju. Kama alikuwa ana NIA ya dhati ya kumsaidia basi angelisimama mbele yake ili asidhulike. Paul Makonda alimtumia Amon Mpanju kama KINGA YA KUJINUSURU na kipigo baada ya kuanzisha FUJO NA KUNDI LAKE. Picha inajieleza bayana. Alafu, kwa hao vijana unaosema walikuwa wanaonyesha Mabango yao yenye jumbe mbali mbali, kuna UHUSIANO gani wa kusimama na kupiga kelele za CCM.. CCM.. CCM na kuonyesha mabango yao huku wakiwa wanapanda na kusimama juu ya viti? Je, hiyo ndo namna ya kufikisha ujumbe? Jipange upya kabisaa ndo uje hapa mwehu wewe! Hata hivyo kichapo alikipata na bado vijana wanaoipenda Tanzania yao wako tayari KUZAA NAE WAKIMTIA MIKONONI.