Video na Picha: Ushahidi kuhusu yaliyotokea kwa Jaji Warioba wakati na baada ya vurugu, Ubungo Plaza

Huyo konda hamjui Waziri Mkuu mstaafu kuwa ni Waziri mkuu tu na anagharimiwa
 
amsaidie mzee warioba kwani yeye alikua bodyguard wake??...toka lini ameanza kuwa mlinzi wa Warioba??
afu picha yenyewe ukiiangalia vizuri pale hakumshika warioba alikua ameshika mkono wa mlinzi wa Warioba aliovaa shati jeupe..kwa hiyo apo alikua anamsaidia mlinzi au Warioba??..
Mwisho a hungry man is not a free man and as we are hungry forever we will never be free:angry:
 
huyu dogo mwenye trei la mayai inaonakana kanunuliwa
 
 
Warioba kaka yangu utakuja kufa siku siyo zako;
Ina maana na kisomo chako chote haujajua kuwa haukubaliki?

Wasiyokubalika ni wale wanaomfuata Waryoba wakati Waryoba wameshamkataa na wametengeneza rasimu yao ya katiba ambayo wanaamini kuwa ndiyo maoni ya wananchi.Hii inaashiria kuwa hata rasimu yao wenyewe hawaiamini ndiyo maana wanamfanyia fujo Waryoba ana pojaribu kuwaelimisha wanachi juu ya uhuni waliofanyiwa.
 
Hiyo ya kuniita hivyo jumatatu hii imenipa hamasa.
Hata ukiangalia hilo kusanyiko ni kama watu walikuwa wamewekwa mahali kwa ajili ya kupinga kitu fulani;
..........Inawezekana ana watu wengi wanaomkubali ila watazidiwa nguvu na dola;

Usijali ni kwa vile nakutakia week njema. Watu wote walikuwapo na kama alivyosema Butiku katika utangulizi kila mtu alikuwa na nafasi ya kuhoji au kueleza jambo lolote, kwa nini wasisubiri muda wao?

Hilo la kuzidiwa nguvu na dola ni kuwa hakuna dola iliyowahi kushinda nguvu ya umma siku zote popote duniani. Hata dola ya kirumi iliyokuwa na nguvu sana kulingana na historia ilianguka ije iwe hii inayoendeshwa kwa kutegemea misaada ya wahisani?
 

lete clip ya kutoka ITV kama unayo inayoonyesha hayo unayoyasema ili nasi tupime kwa akili zetu
 
Konda afahamu kuwa kumpiga mzee ni laana ya kufa.Akumbuke huyu ni Waziri Mkuu mstaafu.Lakini akumbuke pia huyu mzee analindwa na kuhudumiwa na wananchi. Serikali inapaswa kuchukua hatua na sio lazima iwe mahakamani. O
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…