Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umesahau na hii pic ya makonda kumpiga warioba
umesahau na hii pic ya makonda kumpiga warioba
hii video haiwezi kuleta jibu dhidi ya tuhuma za makonda kwani haionyeshi muda wote makonda alikuwa anafanya nini inawezekana hakufanya ilo tukio lalini video hii haiwezi kutoa jibu ilo
Taifa letu litaangamizwa na unafiki na uwongo wa baadhi ya watu wanaofaidika au wanaodhani watafaidika na matokeo ya unafiki na uwongo wao.
Ukweli hutafutwa.
Ukweli huweka huru kila binadamu anayeutafuta na kuupata.
Hotel ina CCTV, ukumbi pia una CCTV.
Ukweli hutumia ngazi wakati uwongo hupanda lift.
Kuna baadhi ya wananchi wanawaza katika mlengo wa hisia, wanaongozwa kwa hisia na wanaishi kwa hisia.
Ukweli umeanza kutufikia kwa sasa.[/QUOTE
Ukweli hu tumia ngazi .....wakati uongo hu panda lifti.........haya ni maeno maarufu sanayaMM , webgunamahusao naMM ?
hivi unge'comment bila ku'quote ungepata madhara gani?CCM watakufa vibaya
Warioba kaka yangu utakuja kufa siku siyo zako;
Ina maana na kisomo chako chote haujajua kuwa haukubaliki?
Hiyo ya kuniita hivyo jumatatu hii imenipa hamasa.
Hata ukiangalia hilo kusanyiko ni kama watu walikuwa wamewekwa mahali kwa ajili ya kupinga kitu fulani;
..........Inawezekana ana watu wengi wanaomkubali ila watazidiwa nguvu na dola;
Ujinga mtupu!
Sasa ni nini hiki? Mimi nilidhani hiyo clip itamwonesha mtu anayerusha jiwe. Kumbe kilichofanyika hapa ni TBC kuondoa picha ya Paulo Makonda wakati akimrushia jiwe jaji Warioba. Pathetic CCM.
Ningeshangaa sana kama TBC ingeweza kuonesha kitu kilichotokea wakati sasa chombo hiki kimebakia kuwa ni chombo cha propaganda cha CCM. Nchi ikirudi kwa wananchi, chombo hiki kinachokula kodi yenye bila faida yoyote itabidi kuvunjwa na kuanzishwa upya kikiwa na malengo mapya na maongozi mapya. Na nadhani uongozi wa juu uliokwishachafuliwa na CCM, wote itabidi kusafishwa.
mbona video haionekani,siioni?
umesahau na hii pic ya makonda kumpiga warioba