Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Hawa jamaa wamechorwa kwenye mawe miaka elfu nne iliyopita..hawa jamaa ni kutoka katika kabila la afars djibuti afrika..
 

Attachments

  • Beja_4.JPG
    17.9 KB · Views: 81
Au waliondoka na meli za wachina waliokuja kufanya biashara
 
I like history,thank you foe bringing this thread.ant time any where kuliko na ishu zinazohusu historia ninaomba kuhusishwa.big up Copenhagen DN,Imhotep and other expert in Historical events and facts
 
Historia kuna wakati inanichangaya sana tatizo wazungu kila kitu wao ndo wanajifanya wagunduz inakera
 
Au waliondoka na meli za wachina waliokuja kufanya biashara
Hii ina-make sense na ninalipa benefit of doubt kwavile hadi sasa hakuna aliyenipa driving force/motivation factor iliyowafanya wahatarishe maisha yao wakati walikuwa wana uwezo wa kufanya migration ya nchi kavu kwa nchi kavu!

Na zamani moja ya labor force iliyokuwa inahitajika sana ni labor force ya kusaidia usafiri wa baharini!
 
tatizo wazungu kila kitu wao ndo wanajifanya wagunduz inakera
Kuna ukweli mkubwa hapo,wazungu walikuwa wanadai mtu mweusi hana uwezo wa kuanzisha ustaarabu wa aina yoyote,lakini walipo gundua majengo ya mawe ya "great zimbabwe" wakasita kidogo halafu wakaja na nadharia ya kuwa kuna makabila ya kizungu yalirudi afrika na kujenga majengo hayo.
 
Mwanamke wa kiarabu asilia akishona nguo.
 
Mkuu nime confirm uki google ancient chines histoy of trade with africa wameandika kwa mapana sana
 
Great zimbabwe haya majengo deep inside afrika ndio yaliyowafanya wazungu wabadilishe mtizamo halafu wakatengeneza uwongo ya kuwa watu weupe walikuja afrika kuyajenga😀
 
india kuna sehem kama hii au ni zamani sana
Visiwa vya andaman na nicobar haviko bara hindi ila katika bay of bangali kama hiyo ramani invyo onyesha vina alama nyekundu.
 
Visiwa vya andaman vilikabidhiwa kwa serikali ya india na wakoloni wa kiingereza,lakini serikali ya india imepeleka wahamiaji wengi kupita kiasi,hadi kutishia kuwafuta wenyeji ambao ni wajarawa nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…