evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,333
Hizo videos ni za juzi tu.....sio zamani hata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au waliondoka na meli za wachina waliokuja kufanya biasharaSina tatizo kwa hilo hata kidogo, sana sana ndo nazidi kupata hamu zaidi! Hadi Papua New Guinea... is a long terrible and dangerous trip hasa tukizingatia enzi hizo hapakuwa na vifaa bora! Sasa hapo ndipo ninapokosa jibu... ni nini hasa kiliwafanya wahatarishe maisha kwa kukata bahari wakati walikuwa na option nyingi tu?! Ni kwamba, kutoka kwenye makazi yao ya asili wakaelekea East na kuchukua mitumbwi wakati, hata kama ni kusaka makazi bora, bado wangeweza kuelekea West/North/South na kuanza kula pori kwa pori kama ilivyokuwa kwa Wazulu ambao hatimae walitua Mkoani Ruvuma! Labda kama walikuwa ni wakazi wa asili wa moja ya visiwa vidogo vya bahari ya Hindi kwenye ukanda wa Afrika Mashariki! Impact ya Mzungu na Mwarabu kuvuruga bahari hadi Afrika inaonekana mpaka leo kwenye uchumi wao... kwamba, walivuruga bahari kutafuta kitu na kitu hicho kinaonekana hadi leo! Sasa hawa ndugu zetu pamoja na kuvuruga bahari bado hawaoneshi ni nini hasa walikuwa wanatafuta hadi ku-risk maisha yao kiasi hicho!
Wambele khaa Froxy
Hii ina-make sense na ninalipa benefit of doubt kwavile hadi sasa hakuna aliyenipa driving force/motivation factor iliyowafanya wahatarishe maisha yao wakati walikuwa wana uwezo wa kufanya migration ya nchi kavu kwa nchi kavu!Au waliondoka na meli za wachina waliokuja kufanya biashara
Kuna ukweli mkubwa hapo,wazungu walikuwa wanadai mtu mweusi hana uwezo wa kuanzisha ustaarabu wa aina yoyote,lakini walipo gundua majengo ya mawe ya "great zimbabwe" wakasita kidogo halafu wakaja na nadharia ya kuwa kuna makabila ya kizungu yalirudi afrika na kujenga majengo hayo.tatizo wazungu kila kitu wao ndo wanajifanya wagunduz inakera
Mkuu nime confirm uki google ancient chines histoy of trade with africa wameandika kwa mapana sanaHii ina-make sense na ninalipa benefit of doubt kwavile hadi sasa hakuna aliyenipa driving force/motivation factor iliyowafanya wahatarishe maisha yao wakati walikuwa wana uwezo wa kufanya migration ya nchi kavu kwa nchi kavu!
Na zamani moja ya labor force iliyokuwa inahitajika sana ni labor force ya kusaidia usafiri wa baharini!
india kuna sehem kama hii au ni zamani sana
india kuna sehem kama hii au ni zamani sana
Farao Taharka inasemekana ndio alioiokoa misri kutoka kwa assyrians.asili yake ni meroe sudanView attachment 431039