Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Wamisri wa kale walikuwa wana amini kabisa kuwa puntland ni nchi ya asili na ndiko walikitoka.
 
Katika msafara wa farao Hatchepsut, pia aliwachukuwa watu wa puntland na kuwapeleka misri.
 
Ila hao jamaa ni wakorofi balaa hawataki contact na outside world ukifika territory yao unakula mishale ya kutosha nimesoma mahali walikua wanawaua hadi ma contractor waliokua wanajenga barabara ya kwenye visiwa vyao
Hio inatia woga kwa watu ili ukweli usifahamike
 
Unaweza kutofautisha farao wa hollywood na farao asilia teh..teh..
 
Kutengeneza documentary kuhusu wao hatuharbu kitu ni njia bora ya kufanya mimi na wewe na wengne wasiokua na ufahamu kuwahusu tuelewe zaidi maisha yao.
 
Hawaweazi kuficha ficha mafanikio yetu..lakini ni sisi ndio tunatakiwa tuyaenzi mafanikio ya mababu zetu.
 
Kutengeneza documentary kuhusu wao hatuharbu kitu ni njia bora ya kufanya mimi na wewe na wengne wasiokua na ufahamu kuwahusu tuelewe zaidi maisha yao.
Tusiangalie mbali kwanza tuangalie hapa kwetu,wahadza wanafutika miaka ishirini na ushee ijayo.kama sikosei wahadza wamebakia kidogo idadi yao haizidi mia sita,tumegawa maeneo yao kwa wawekezaji tumevamia ardhi zao tumemaliza wanyama wao kama digidigi nk.
 
Huyu ndio farao shebiktu.huyo mwingine..ni Hotep.wote ni waafrika
 
Wanamisambwanda ya hatari plus chuchu konzi saa 6... Dah! Iwish ningekuwa naishi karibu yao maana ningekuwa na zikata tu bikra zao kila uchwao
 
Naanza kupata picha
Lakini mkuu, muamko wa kujitambua sisi waafrika kazi ni kubwa mbele yetu.unajua kama hawa jamaa lengo lao ni kutufuta kabisa.eidha kwa maradhi na vita.
 
Huu ni mpango maalum wa kutumaliza na ushahidi upo.
 
Aisee hii ni kweli kabisa twafaaa na waafrica tunavyopenda kupigana fimbo du ha a ha ha ha hatabaki mtu
Kila "race" inapenda kifimbo,ila hawa wadudu wametengenezwa watafune defence zetu kwa urahisi.
 
Hata wafanye nini mungu anatupenda tutakuwepo na tutaendele kuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…