Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio inatia woga kwa watu ili ukweli usifahamikeIla hao jamaa ni wakorofi balaa hawataki contact na outside world ukifika territory yao unakula mishale ya kutosha nimesoma mahali walikua wanawaua hadi ma contractor waliokua wanajenga barabara ya kwenye visiwa vyao
Naanza kupata picha
Kutengeneza documentary kuhusu wao hatuharbu kitu ni njia bora ya kufanya mimi na wewe na wengne wasiokua na ufahamu kuwahusu tuelewe zaidi maisha yao.Andamans na San people (Saan au Bushmen) lile kabila la South Africa/Namibia wanashabiana sana. Ni jamii za watu ambao hawana contact na watu wengine, primitive kweli kweli na DNA zao zina information nyingi kuhusu binadamu.
Kama ilivyo kwa Andamans hawapigi watoto, wana upendo, wanapenda kukumbatiana wao kwa wao na kwa sababu hawana contact na watu wengine wakiona wageni wanashangaa au kuwafukuza kabisa ndiyo San people walivyo pia. Kuna uncontacted society kwenye misitu ya Amazon Brazil pia.
Hizi jamii zilindwe na zisiingiliwe katu, hata kwenda kutengeneza documentary kuhusu maisha yao tayari tunaharibu mfumo wao.
Tusiangalie mbali kwanza tuangalie hapa kwetu,wahadza wanafutika miaka ishirini na ushee ijayo.kama sikosei wahadza wamebakia kidogo idadi yao haizidi mia sita,tumegawa maeneo yao kwa wawekezaji tumevamia ardhi zao tumemaliza wanyama wao kama digidigi nk.Kutengeneza documentary kuhusu wao hatuharbu kitu ni njia bora ya kufanya mimi na wewe na wengne wasiokua na ufahamu kuwahusu tuelewe zaidi maisha yao.
Lakini mkuu, muamko wa kujitambua sisi waafrika kazi ni kubwa mbele yetu.unajua kama hawa jamaa lengo lao ni kutufuta kabisa.eidha kwa maradhi na vita.Naanza kupata picha
Aisee hii ni kweli kabisa twafaaa na waafrica tunavyopenda kupigana fimbo du ha a ha ha ha hatabaki mtuView attachment 431953 View attachment 431954 Huu ni mpango maalum wa kutumaliza na ushahidi upo.
Kila "race" inapenda kifimbo,ila hawa wadudu wametengenezwa watafune defence zetu kwa urahisi.Aisee hii ni kweli kabisa twafaaa na waafrica tunavyopenda kupigana fimbo du ha a ha ha ha hatabaki mtu