Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Mfalme Mkwawa shujaa kabisa aliyewapa wajerumani kichapo kikali kabisa.
 
Unajua hizi nchi za kiafrica zinazolia njaa na kila siku kitembeza kibaba zinatabia ya kujivua ufahamu. Sijui tuna mpango kutembelea ndugu zetu hawa. Sisi na kenya hawa ni ndugu zetu damu. Kuna haja ya kupeleka mswaada EAC PARLIAMENT kuhusu hawa ndugu zetu wasi extint. Shyrose banji anawza kuchomekea hili ili likitoka hapo lipelekwe AU kwa hatua zaidi. Mimi nilisikia hawa ndugu zetu wana nasaba ma Wazigua(sina uhakika). Sijui Eng Kijazi alipokuwa kule kama balozi alichunguza cho chote. Tusikubali ndugu zetu wapotee. Sijui hitifaki iko je sisi kuwasiliana na Wahindi kuhusu hili. Lakini nadhani Haki za binadamu local (kenya na tanzania) na hatimaye international wanaweza wakachokoza. Vile vile mashirika ya Dini ya tanzania, kenya india wanaweza kwa upande wao kufanya kitu badala ya kuwa watazamaji. Waadishi wa habari wa huku kwetu tukachunguze ili tuwe na taarifa sahihi.
 
Wako wild kwa ajili ya kujilinda kwa kuwa wamezoea kuwa attacked, "probably."
 
Mkuu wazo lako ni zuri,inatakiwa pia kuishinikiza serikali ya india kupitia balozi zao hapa afrika ya mashariki
 
Kumbe kuna makabila mengi ya weusi huko India!? Nilikuwa najua mawili tu, Jarawa na Siddi tu!
Katika visiwa vya andaman na nicobar kuna makabila matatu ya watu wa asili onge, jarawa,sentineli,lakini ukienda bara hindi kuna makabila ya watu weusi pia ambayo ni dravidians kama tamils nk.hawa ndio wamatokea hindu kush na ndio inasemekana wenye walioanzisha dini ya kihindu.
 
Wasichana wa kitamil huko bara hindi hawa jamaa pia wanapambana na ubaguzi wa rangi unaofadhiliwa na serikali ya india.
 
Serikali ya sri lanka pia inawafanyia mauwaji ya kimbari watamil wa huko.
 
Kuhani wa kiyahudi akipuliza parapanda huko india.katika sikukuu ya sabato.
 
Askia mohamad askia the great huyu shujaa mfalme wa himaya ya songhai,hawa jamaa ndio wamorish asilia.
 
Ndugu zangu waafrika kama historia tunayo,ndio maana tunabaguliwa wanatuogopa tusijewageukia.
 
Kitabu hiki kimeandikwa na mmoja wa mashushushu wa kikoloni waliotumwa waje kutupeleleza anaitwa Richard burton
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…