imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu utafiti wako ndio ulipoishia hapo..Matiti madogoooooo!
Wako wild kwa ajili ya kujilinda kwa kuwa wamezoea kuwa attacked, "probably."Serikali haiwezi kuwaacha ktk hali hiyo, itakuwa na mpango mbadala,
kama wanauwa watu wengine wanaoingia kisiwani humo kufikia mahala pa serikali kuona hilo huenda nao wako
Anekana adui wa binadamu wengine;
sasa kama serikali inaweza kuwachukuli hivyyo maana yake ina lake jambo nyuma ya pazia,
isipokuwa haiwezi kuitangazia Dunia
Kumbe kuna makabila mengi ya weusi huko India!? Nilikuwa najua mawili tu, Jarawa na Siddi tu!How To Contact With PM Narendra Modi -Office Address, Phone Number, Email
Unaweza pia kumuandikia waziri mkuu wa india na kumuomba asitishe mauwaji ya kimbari dhidi ya makabila asilia ya wajarawa,sentineli na waonge.
Katika visiwa vya andaman na nicobar kuna makabila matatu ya watu wa asili onge, jarawa,sentineli,lakini ukienda bara hindi kuna makabila ya watu weusi pia ambayo ni dravidians kama tamils nk.hawa ndio wamatokea hindu kush na ndio inasemekana wenye walioanzisha dini ya kihindu.Kumbe kuna makabila mengi ya weusi huko India!? Nilikuwa najua mawili tu, Jarawa na Siddi tu!
Wacheni unkown fear. Mbona wamepigwa still picture na video nyingi tuwanaua MTU yeyote anayeingia kisiwani kwao, hadi serikali imeamua kuwaacha