Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalau andiko hili linasena walikwenda, na comment yako inasema wale waliopo China hawajui walifikaje lakini angalau inaonyesha kuna sehemu walikuwepo hapo kabla.Nimesikia kuna wengine wako china, hawajui hata walifikaje na nilini
Yaani kupotea kwao ndiyo kuitawala dunia?Tukisema waafirika tuliwahi Utawala ulimwenguni vichwa ngumu wanabisha.Haya sasa walifikaje huko kama hawakuwa na idea ya navigation?
Huyu ana kakikundi ka wenzake humu na mtandao mwingine wa wazuru huko SA wameamua kuandika historia wanayoitaka wao.Early Long Distance Trade kati ya Mashariki ya Mbali(china , India, et el na waajemi, hao walikuwa watumwa wa awali kabisa
Umeona matiti tu?Matiti madogoooooo!
Mkuu Copenhagen DN unaweza kufanya mchakato wa IP (namba ya simu) ya huyu?
Umeuliza kwanini walielekea North East? Jibu lako ni hili katika dunia yetu kuna pepo ambazo huvuma na huvuma kuelekea mashariki tu, ndio maana ilikuwa rahisi wao kuelekea huko, angalia hata Safari za ndege hupita mashariki ili kurahisisha Safari uKijaribu kupita magharibi utatumia muda mrefu na mafuta mengiNachukia ukoloni na katu siwezi kuonea ufahari ujaji wa Wakoloni barani Afrika! Hata hivyo, hiyo hainiachi kuwaza kwamba je; huenda kama si ujaji wa Wakoloni Afrika; hivi sasa si ajabu bado tungekuwa kwenye primitive life kama hao?! Tungekuwa tumepiga hatua kiasi gani?
Anyway, sijasoma history... ngoja weekend hii nitumie muda kidogo kujisomea yale ambayo niliyasikia nikiwa Form I & II... Zama za Kale za Mawe; Ugunduzi wa Moto n.k! Ningependa kufahamu wakati Mswahili anaweza kuchonga jiwe kwa kutumia mawe; makabila mengine (non Africans; white in particular) walikuwa wapi!
Nikirudi kwenye mada; interest yangu sio "Waafrika" hao kwenda India... bali ni nini kiliwafanya ku-risk maisha yao kiasi cha kuingia kwenye mitumbwi hadi India! Let's wanatoka Tanga... walipokuwa wanaishi pakakumbwa na disease outbreak na hivyo kuwa si salama tena kuishi!! Kwanini wali-opt kuelekea Eastwards hadi baharini na kuanza kukata maji bila kufahamu wanaenda wapi.... huku nikiamini hawakuwa na mitumbwi ya kuweza kuhifadhi idadi kubwa ya chakula na maji... by the way; wangehifadhi kwa kutumia vifaa gani?! Why instead moving eastwards, hawakuelekea north/west/southwards ambako wangeweza kulikimbia eneo hatarishi bila ku-risk maisha yao tena wakiwa na uhakika wa kupata chakula kwavile wangekuwa wanasafiri pori kwa pori!!!!
Hebu nikumbusheni wataalamu wa historia! Wale Wangoni wa Kusini mwa Tanzania ni moja ya sehemu ya Wazulu ambao kusafiri kwao northward to Tanzania ilitokana na civil wars kule kwao?!
Mkuu Copenhagen DN, kwa hii ID yako naweza ku-assume upo Denmark! Kama ndiyo, kuna motivation factor iliyokufanya ku-move northward to Denmark! Kutafuta elimu, maisha na mambo mengine kama hayo! Nini inaweza kuwa motivation factor ya hao watu?!
Kabla ya karne ya 15 tulikuwa sawa kimaendeleo na ulaya kwa vigezo vya Utawala yaani himaya, kuwa na viwanda, elimu ya kiafrika, ustaarabu wa mwafrika, utamaduni, na kilimo wamekuja hao intruders wakatubadili tukawa chini yaoNachukia ukoloni na katu siwezi kuonea ufahari ujaji wa Wakoloni barani Afrika! Hata hivyo, hiyo hainiachi kuwaza kwamba je; huenda kama si ujaji wa Wakoloni Afrika; hivi sasa si ajabu bado tungekuwa kwenye primitive life kama hao?! Tungekuwa tumepiga hatua kiasi gani?
Anyway, sijasoma history... ngoja weekend hii nitumie muda kidogo kujisomea yale ambayo niliyasikia nikiwa Form I & II... Zama za Kale za Mawe; Ugunduzi wa Moto n.k! Ningependa kufahamu wakati Mswahili anaweza kuchonga jiwe kwa kutumia mawe; makabila mengine (non Africans; white in particular) walikuwa wapi!
Nikirudi kwenye mada; interest yangu sio "Waafrika" hao kwenda India... bali ni nini kiliwafanya ku-risk maisha yao kiasi cha kuingia kwenye mitumbwi hadi India! Let's wanatoka Tanga... walipokuwa wanaishi pakakumbwa na disease outbreak na hivyo kuwa si salama tena kuishi!! Kwanini wali-opt kuelekea Eastwards hadi baharini na kuanza kukata maji bila kufahamu wanaenda wapi.... huku nikiamini hawakuwa na mitumbwi ya kuweza kuhifadhi idadi kubwa ya chakula na maji... by the way; wangehifadhi kwa kutumia vifaa gani?! Why instead moving eastwards, hawakuelekea north/west/southwards ambako wangeweza kulikimbia eneo hatarishi bila ku-risk maisha yao tena wakiwa na uhakika wa kupata chakula kwavile wangekuwa wanasafiri pori kwa pori!!!!
Hebu nikumbusheni wataalamu wa historia! Wale Wangoni wa Kusini mwa Tanzania ni moja ya sehemu ya Wazulu ambao kusafiri kwao northward to Tanzania ilitokana na civil wars kule kwao?!
Mkuu Copenhagen DN, kwa hii ID yako naweza ku-assume upo Denmark! Kama ndiyo, kuna motivation factor iliyokufanya ku-move northward to Denmark! Kutafuta elimu, maisha na mambo mengine kama hayo! Nini inaweza kuwa motivation factor ya hao watu?!
Ukoloni ulianzia karne ya 19 baada ya ubepari kukua yaani imperialism au monopoly capitalism60 thousand years utumwa ulikuwa bado na mzungu kafika afrika kalne ya kumi na nne kabla ya hapo ni uongo. Hawa watu walifika huko kama migration nyingine zote. Mimi ninachopenda tujifunze hapa ni kuwa mila ya mwafrika ndiyo hiyo ya kutembea uchi siyo kila siku tuambiwe watu wanatembea uchi wanaiga mila za wazungu. Hao ni wazungu na je wamevaa vimini? Kama wanataka mila za kiafrika basi watu wote tuanze kuchojoa tutembee kama wao.
Huo mtumbwi na wanawake walikuwemoCome on now, historia darasa la tano.
Mtumbwi ulikuwa unavua samaki Africa ukapotea baharini kuibukia India. Hawakuhitaji navigation system.
The greatest of far-out discoverers in history, Bathlomeo Diaz, Henry the Navigator, Vasco Da Gama, Marco Polo, Christopher Columbus they all made their greatest discoveries by chance and stumbling, far from geoscience precision.
Red Indians wa Marekani wanaitwa Indians leo kwa sababu Christopher Columbus alidhani kafika India. Kumbe bana wale sio wahindi.
Vasco Da Gama aliingia chaka akielekea India kutafuta black pepper, akajikuta yuko Kariakoo.
You did not need navigation technology to conquer world frontiers.
Miaka 60,000 inasemekana bahari nyekundu ilikuwa ni lakes ndogo ndogo kama ilivyo leo kwenye bonde la ufa,inawezekana walitembea fukweni huku wakipata kila kitu kutoka bahariniUmeuliza kwanini walielekea North East? Jibu lako ni hili katika dunia yetu kuna pepo ambazo huvuma na huvuma kuelekea mashariki tu,
Historia gani unaongelea? Ya Berlin conference? Umeenda Zanzibar kuona boma ya wareno? Unajua vilijengwa lini? Bagamoyo yale makaburi ya waarabu ya lini? Burma, India, Singapore, South Africa. Ukoloni umetapakaa East Africa kabla hata ya kalne ya 13. Nenda Kilwa utajifunza zaidi. England ilikuwa koloni la warumi 900 AD. Usifikiri ukoloni ulikuwa Africa tu. Ulaya nao walitawaliwa na wazungu wenzao tena brutality kubwa saa nyingine kuliko kwetu. Utumwa ulikuwepo kati yao vile vile. Hivyo soma vizuri history.Ukoloni ulianzia karne ya 19 baada ya ubepari kukua yaani imperialism au monopoly capitalism