Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

MG_8971.jpg
e614f01aea5ee28ded4d242d733e6edb.jpg
D7047801.jpg
PNG doctor CSR.jpg
Hawa hapa ni papuans na hao watoto ni solomon islanders.hapo hakuna uchotara hata kidogo.
 
Historically hawa watu walisafir kwa mitumbwi had wakafika maeneo ya huko mbali na inasemekana wengi wao walikufa maji,waikiwa wanasafiri. Hata wale wa visiwa vya Caribbean hawakufika pale kwa sababu za utumwa hapana ila walifika pale kwa amri ya mfalme aliyetawala Mali kabla ya MANSA KHANKHAN MUSA (kaka yake) baada ya wareno wa kwanza kufika maeneo hayo ya afrika maghalib hasa MALI na GHANA walifika kwa mfalme huyo na kumpa ngalawa yeye kawapa dhahabu, mfalme yule aliamuru majeshi take kwenda kutafuta nchi nyingine ya kutawala kama wareno wanvyofanya alituma askari mia mbili na ngalawa kadha, hiv vikosi viliongozwa na makapten ,,lakin hawakufanikiwa kufika kwa wakikufa baharin, akapona kapten mmoja na baadh ya askar ( ngalawa moja tu ndio walipona ) na kufanikiwa kurudi had Mali na kumweleza mfalme, ndipo yeye nfalme akaagiza ngalawa zingine na kuamua kwenda yeye na kikos kingne, akamweka mdogo wake kama mfalme (MANSA MUSA)akiwa na miaka 14 tu, wakati yeye hayupo, alimwagiza kutawala hadi yeye mfalme atakapo rejea Mali na endapo hatarejea basi yeye mdogo atawale kama mfalme wa kudumu. Kaka yake Musa alifanikiwa kufika Caribbean na wakakaa huko kurudi, na ndio asil ya wafrika hawa wa vile visiwa , wakati Christopher culombus anagundua Bara la America alifika maeneo haya na kuwakuta hawa watu pale Caribbean islands lakin hajawahi kuweka katika maandishi yake akijua atakosolewa kwamba yeye sio mgunduz was north America bali ni hawa waafrika kutoka magharib, lakin yeye alikuwa mtu wa kwanza kuweka bara LA America katika. Maandishi na kukifanya lijulikane kote. Kwa historian hivi karibuni kulifanyika utafit was kisayansi ili kubain koo za hao watu kule afrika magharib kwa vipimo vya kinasaba DNA na kubain hadi familia zao hao watu na wengi hadi leo wanaishi JAMAICA, CUBA, (kuna kitabu kinaitwa AFRICAN HITORY )kimeandikwa Nairobi University, "Mwandishi simkumbuki" kinaelezea vizuri sana ,kwa wenzetu mliopo open university mtusaidie ndipo nilikikuta pale Mbeya center. Kwa hiyo hawa weusi wa India na china ni kati ya watu was kale waliosafir kwa maji hadi kufika huko waliko sasa . nikipata hiki kitabu ntarejesha full story hapa wadau muijue!
 
Waafrika ndio kundi lililozaa "race" nyingine na ushahidi unaonyesha hivyo.
 
Ila huyo mtoto wasingemzamisha kwenye maji jamani, wangemuacha tu aishi
Ndio tunasema mambo ya elimu inawezekana huyo mtoto ni matokeo ya genetics tu huko nyuma damu hiyo chotara ilipita na sio kuwa kuna mtu mweupe alitembea na huyo bint.
 
Da yan taifa kubwa kama India wameshindwa kuwapelekea ustaharabu hawa watu wamewaacha tu watembee uchi.Dah!Nimeumia sana,najua in dhambibya ubaguzi mwisho wa Sikh wakajikuta wanatembea tu pekeyao wakashindwa kufanya adaptation

Acha utumwa ndugu yangu ustaarabu ni utumwa.
 
Ila huyo mtoto wasingemzamisha kwenye maji jamani, wangemuacha tu aishi
Haya mambo yalikuwepo toka kitambo watoto waliokuwa na albinisim waliuwawa huko huko ndani wale wakunga walimaliza mambo ndo maana hawakuwa wengi kuna history ya selif keita nae familia yake ilimfukuza na pia kijiji kilimkataa kwani ilikuwa ni mkosi kuwa na mlemavu wa ngozi penye familia nadhani hao jamaa nao ni muendelezo huo.
 
Kule Hyderabad,India niliishi muda mrefu kama mhamiaji haramu.
Siku moja nikakamatwa na polisi waliokuwa wanafanya doria usiku.
Kesho wakafika polisi wengine wakawa wanawachekecha watu kuona wepi wanapaswa kuachiwa huru.
Afisa mmoja akawa ananiuliza mimi nani. Nikamwambia mimi ni Mtanzania.
Akaniambia,"Unajua sehemu hii inaitwa K.A.R.section?"
Hatimaye nikaruhusiwa kuondoka.
Baadaye katika matembezi yangu,baada ya ziku nyingi,nikafika eneo ambapo walikuwepo watu weusi wengi. Wanaongea kihindi,nywele nyeusi lakini ziyo za kipilipili. Weusi kuliko mimi na wewe. Certainly weusi kuliko Members.
 
Back
Top Bottom