Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Hii inaonesha jinsi watanzania na waafrika kwa ujumla tusivyopenda kusoma.
 
Nimesikia kuna wengine wako china, hawajui hata walifikaje na nilini
Angalau andiko hili linasena walikwenda, na comment yako inasema wale waliopo China hawajui walifikaje lakini angalau inaonyesha kuna sehemu walikuwepo hapo kabla.
Kuna wale wanaharakati wa kiafrika wanaoandika historia yao mpya wanayoijua wao, kama wangezijua habari za makundi wangedai India na China nazo zilikua ni nchi za kiafrika, na waafrika ndiyo walikua wakitawala Kule.
 
Andamans na San people (Saan au Bushmen) lile kabila la South Africa/Namibia wanashabiana sana. Ni jamii za watu ambao hawana contact na watu wengine, primitive kweli kweli na DNA zao zina information nyingi kuhusu binadamu.

Kama ilivyo kwa Andamans hawapigi watoto, wana upendo, wanapenda kukumbatiana wao kwa wao na kwa sababu hawana contact na watu wengine wakiona wageni wanashangaa au kuwafukuza kabisa ndiyo San people walivyo pia. Kuna uncontacted society kwenye misitu ya Amazon Brazil pia.

Hizi jamii zilindwe na zisiingiliwe katu, hata kwenda kutengeneza documentary kuhusu maisha yao tayari tunaharibu mfumo wao.


New photos emerge of isolated Amazon tribe
 
--SIJAPENDA KUWATENGA KAMA WANYAMA./ WAWAPE CHANJO MAISHA YASONGEBELE...
 
Umeuliza kwanini walielekea North East? Jibu lako ni hili katika dunia yetu kuna pepo ambazo huvuma na huvuma kuelekea mashariki tu, ndio maana ilikuwa rahisi wao kuelekea huko, angalia hata Safari za ndege hupita mashariki ili kurahisisha Safari uKijaribu kupita magharibi utatumia muda mrefu na mafuta mengi
 
Kabla ya karne ya 15 tulikuwa sawa kimaendeleo na ulaya kwa vigezo vya Utawala yaani himaya, kuwa na viwanda, elimu ya kiafrika, ustaarabu wa mwafrika, utamaduni, na kilimo wamekuja hao intruders wakatubadili tukawa chini yao
 
Ukoloni ulianzia karne ya 19 baada ya ubepari kukua yaani imperialism au monopoly capitalism
 
Huo mtumbwi na wanawake walikuwemo
 
Umeuliza kwanini walielekea North East? Jibu lako ni hili katika dunia yetu kuna pepo ambazo huvuma na huvuma kuelekea mashariki tu,
Miaka 60,000 inasemekana bahari nyekundu ilikuwa ni lakes ndogo ndogo kama ilivyo leo kwenye bonde la ufa,inawezekana walitembea fukweni huku wakipata kila kitu kutoka baharini
 
Na ni nini hasa kinachopunguza idadi yao?? Umesema Wamebakia 450 tu! Je kabla ya hapo walikuwa wangapi? Na nini sababu ya mfumo wao wa kinga kuwa dhaifu zaidi ya jamii nyingine? Kama hutajali naomba majibu
 
Ukoloni ulianzia karne ya 19 baada ya ubepari kukua yaani imperialism au monopoly capitalism
Historia gani unaongelea? Ya Berlin conference? Umeenda Zanzibar kuona boma ya wareno? Unajua vilijengwa lini? Bagamoyo yale makaburi ya waarabu ya lini? Burma, India, Singapore, South Africa. Ukoloni umetapakaa East Africa kabla hata ya kalne ya 13. Nenda Kilwa utajifunza zaidi. England ilikuwa koloni la warumi 900 AD. Usifikiri ukoloni ulikuwa Africa tu. Ulaya nao walitawaliwa na wazungu wenzao tena brutality kubwa saa nyingine kuliko kwetu. Utumwa ulikuwepo kati yao vile vile. Hivyo soma vizuri history.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…