Historically hawa watu walisafir kwa mitumbwi had wakafika maeneo ya huko mbali na inasemekana wengi wao walikufa maji,waikiwa wanasafiri. Hata wale wa visiwa vya Caribbean hawakufika pale kwa sababu za utumwa hapana ila walifika pale kwa amri ya mfalme aliyetawala Mali kabla ya MANSA KHANKHAN MUSA (kaka yake) baada ya wareno wa kwanza kufika maeneo hayo ya afrika maghalib hasa MALI na GHANA walifika kwa mfalme huyo na kumpa ngalawa yeye kawapa dhahabu, mfalme yule aliamuru majeshi take kwenda kutafuta nchi nyingine ya kutawala kama wareno wanvyofanya alituma askari mia mbili na ngalawa kadha, hiv vikosi viliongozwa na makapten ,,lakin hawakufanikiwa kufika kwa wakikufa baharin, akapona kapten mmoja na baadh ya askar ( ngalawa moja tu ndio walipona ) na kufanikiwa kurudi had Mali na kumweleza mfalme, ndipo yeye nfalme akaagiza ngalawa zingine na kuamua kwenda yeye na kikos kingne, akamweka mdogo wake kama mfalme (MANSA MUSA)akiwa na miaka 14 tu, wakati yeye hayupo, alimwagiza kutawala hadi yeye mfalme atakapo rejea Mali na endapo hatarejea basi yeye mdogo atawale kama mfalme wa kudumu. Kaka yake Musa alifanikiwa kufika Caribbean na wakakaa huko kurudi, na ndio asil ya wafrika hawa wa vile visiwa , wakati Christopher culombus anagundua Bara la America alifika maeneo haya na kuwakuta hawa watu pale Caribbean islands lakin hajawahi kuweka katika maandishi yake akijua atakosolewa kwamba yeye sio mgunduz was north America bali ni hawa waafrika kutoka magharib, lakin yeye alikuwa mtu wa kwanza kuweka bara LA America katika. Maandishi na kukifanya lijulikane kote. Kwa historian hivi karibuni kulifanyika utafit was kisayansi ili kubain koo za hao watu kule afrika magharib kwa vipimo vya kinasaba DNA na kubain hadi familia zao hao watu na wengi hadi leo wanaishi JAMAICA, CUBA, (kuna kitabu kinaitwa AFRICAN HITORY )kimeandikwa Nairobi University, "Mwandishi simkumbuki" kinaelezea vizuri sana ,kwa wenzetu mliopo open university mtusaidie ndipo nilikikuta pale Mbeya center. Kwa hiyo hawa weusi wa India na china ni kati ya watu was kale waliosafir kwa maji hadi kufika huko waliko sasa . nikipata hiki kitabu ntarejesha full story hapa wadau muijue!