Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

photo.jpg
Mabaki ya mashujaa wa kikolshi huko uturuki.
 
Hizi story zimepikwa ila tunajua hasa watunzi wake.wala isikupe shiida.

You can't be serious!

Kipi kimepikwa hapo? Ukoloni wa Ureno au historia ya Watu Weusi au utumwa?

Na kama story zimepikwa, tuelimishe story za ukweli kwa kutoa chanzo.

Ukienda Goa, kuna document za kila aina katika majumba ya makumbusho kuhusu ukoloni wa Ureno na utumwa.

Kama una fact za historia halisi za Waafrika Weusi wa India weka hapa uelimishe umma.

Bila chanzo, zinakuwa hadithi za vijiweni.
 
par-wine-jug-and-aryballe451x569-146.jpg
Haya masanamu ya kiafrika yamechimbuliwa huko ugiriki au uyunani,nadhani yalikuwa yakitumika na wayunani weusi katika mahekalu.kuna jagi la mvinyo na sehemu ya kuwekea ubani.
 
tumblr_mwfew4er1R1ssmm02o1_500.png
a6fc22b62197bce75becd9207b6c2002.jpg
picha ya juu mgiriki asilia na chini mmoja wa miungu wao.
 
Nenda uka saachi Black roots of indus valley civillisation.ushahidi tunao.

Nilikuwa naongelea specifically kuhusu Waafrika wa India katika picha ya mada hii. Hawa hawajaja miaka elfu 60 iliyopita kwa kuwa hamna chanzo kunachoonyesha hivyo. Hawa ni wa karne ya 12 walipoanza kuletwa na utumwa wa Kiarabu katika biashara za bahari ya Hindi na Utawala wa Kireno.

Wewe unaongelea civilization za Indus Valley Civilization.

Hawa ni wa karibu na hawapo sophisticated kwa sababu ni maisha yao waliyoyazoea tangu waletwe kama watumwa kutoka Afrika Mashariki ya Ureno na wapiganajj na wachekeshaji wa Wafalme wa Kihindi.

If these guys had any ambition or political power, we would be reading today about Prime Minister "Hamisi" of India.

I can argue the same about the Maoris of New Zealand and the Aborigines of Australia. Many live in poverty and on welfare, live shorter lives than average citizens and like "native Americans" in North America, they tend to drink heavily.

And yes, I am aware of the power of the Google search engine.
 
Kwel wamebobea India maana hata hiyo lugha wanayoongea siyo ya kibantu
 
Sanamu hili la shujaa wa kiyunani limechimbuliwa huko ugiriki.View attachment 432784

Mwisho wa siku, Nani ameshika dunia ya leo?

Hata haya mawasiliano tunayofanya sasa ni kwa kutumia ujuzi wa Mtu Mweupe.

Bila wao, tungekuwa bado tunafanya safari za ngamia na ngarawa.

Somewhere, we lost the ability to use our knowledge to move forward.

All we have left is blaming games and African Rastafarian sculptures.
 
Rasta asili yake ni afrika wenye wivu wajinyonge
tumblr_inline_no794xbh1v1rn5ji5_540.png
 
Pumba zako hazifichi asili yako.

Weka hoja zako. Si lazima ufuate msimamo wangu. Ukianza kutoka povu, inaonyesha kuishiwa hoja.

Weka asili yangu pembeni na toa hoja zako kama mtu aliyesoma. Hatujadili asili yangu hapa.

Debating skill is an art.

Either you have it or you don't.
 
Back
Top Bottom