Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Kijana mahiri kabisa wa kabila la afar Djibouti afrika.
ff2405fb1a230b293bffc8bd4132e67a.jpg
 
ob_787f59_nubianarchersegyptian-museum-artifacts-looted-dam.jpg
nubian-soldier.jpg
Sanamu za majeshi ya farao zikiwa ndani ya jumba la makumbusho la cairo.
 
View attachment 433492 View attachment 433493 Sanamu za majeshi ya farao zikiwa ndani ya jumba la makumbusho la cairo.
Watu weusi hao..
Kuna clip moja niliiona youtube, kuna mweusi wa India aliulizwa "What country are you from?" Akamjibu mweusi mwingine "India" huyo mweusi mwingine hakuamini kabisa maana hana utofauti wowote na sie Waafrika. Jamaa ukimuangalia utadhani muethiopia.
 
Mkuu neno eithiopians ni kiyunani (kigiriki) maana yake ni waafrika eithopia maana yake afrika nyeusi.,unajua mkuu vyombo vya habari huwa havionyeshi uhalisia hata film za kihindi huwezi kuona wahindi wenye asili ya afrika,tatizo liko kwenye caste system yao
 
Ni kweli kabisa vyombo vya habari vya India havioneshi hao weusi, nimewaona wale wa Kichina hawana tofauti na Wasauzi Africa, na wale wa Melanea pamoja na Wafiji, nimegundua weusi wapo wengi sana duniani, hawa weupe hawataki wajulikane walipo,
 
Mkuu ni dhulma walioifanya wakoloni hususan kwa watu weusi ndio inayopelekea kufichwa kwa historia yetu,lengo la pili ni kutuzuia tusijuane,na tatu lengo lao ni kutumaliza kwa urahisi,nne lengo lao tusiwe na umoja wa aina yoyote.
 
dancers-from-the-sukuma-tribe-celebrate-the-annual-farmers-holiday-BY1MMN.jpg
Wacheza ngoma wa kabila la wasukuma. tanzania afrika.
 
Mkuu ni dhulma walioifanya wakoloni hususan kwa watu weusi ndio inayopelekea kufichwa kwa historia yetu,lengo la pili ni kutuzuia tusijuane,na tatu lengo lao ni kutumaliza kwa urahisi,nne lengo lao tusiwe na umoja wa aina yoyote.
Kweli kabisa, weusi tukijua historia zetu vizuri, tukijuana, na tukiwa na umoja wowote tutafika mbali sana kuliko hata weupe. Hili pia nimelisikia kwa weusi wa China
 
nuba.jpg
Wamisri asilia wakiimba na kucheza utamaduni aswan. egypt afrika.
 
Back
Top Bottom