Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu weusi hao..View attachment 433492 View attachment 433493 Sanamu za majeshi ya farao zikiwa ndani ya jumba la makumbusho la cairo.
Mkuu neno eithiopians ni kiyunani (kigiriki) maana yake ni waafrika eithopia maana yake afrika nyeusi.,unajua mkuu vyombo vya habari huwa havionyeshi uhalisia hata film za kihindi huwezi kuona wahindi wenye asili ya afrika,tatizo liko kwenye caste system yaoWatu weusi hao..
Kuna clip moja niliiona youtube, kuna mweusi wa India aliulizwa "What country are you from?" Akamjibu mweusi mwingine "India" huyo mweusi mwingine hakuamini kabisa maana hana utofauti wowote na sie Waafrika. Jamaa ukimuangalia utadhani muethiopia.
Ni kweli kabisa vyombo vya habari vya India havioneshi hao weusi, nimewaona wale wa Kichina hawana tofauti na Wasauzi Africa, na wale wa Melanea pamoja na Wafiji, nimegundua weusi wapo wengi sana duniani, hawa weupe hawataki wajulikane walipo,Mkuu neno eithiopians ni kiyunani (kigiriki) maana yake ni waafrika eithopia maana yake afrika nyeusi.,unajua mkuu vyombo vya habari huwa havionyeshi uhalisia hata film za kihindi huwezi kuona wahindi wenye asili ya afrika,tatizo liko kwenye caste system yao
Mkuu ni dhulma walioifanya wakoloni hususan kwa watu weusi ndio inayopelekea kufichwa kwa historia yetu,lengo la pili ni kutuzuia tusijuane,na tatu lengo lao ni kutumaliza kwa urahisi,nne lengo lao tusiwe na umoja wa aina yoyote.Ni kweli kabisa vyombo vya habari vya India havioneshi hao weusi, nimewaona wale wa Kichina hawana tofauti na Wasauzi Africa, na wale wa Melanea pamoja na Wafiji, nimegundua weusi wapo wengi sana duniani, hawa weupe hawataki wajulikane walipo,
Kweli kabisa, weusi tukijua historia zetu vizuri, tukijuana, na tukiwa na umoja wowote tutafika mbali sana kuliko hata weupe. Hili pia nimelisikia kwa weusi wa ChinaMkuu ni dhulma walioifanya wakoloni hususan kwa watu weusi ndio inayopelekea kufichwa kwa historia yetu,lengo la pili ni kutuzuia tusijuane,na tatu lengo lao ni kutumaliza kwa urahisi,nne lengo lao tusiwe na umoja wa aina yoyote.