Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

281.jpg
Binti wa kinubi akicheza ngoma za asili.
 
Iliwachukua wamisri wa kale waafrika takriban miaka ishirini kujenga majengo ya piramid,
yalijengwa na watu laki moja na ushee.piramidi hili katika uwanda wa giza ndio kubwa.
92818911.jpg
 
Yalikuwa ni majumba marefu duniani mpaka rekodi yake ilipovunjwa juzijuzi.
 
Wamisri wa kale waliyajenga kwa kutumia mawe,na walikuwa wataalamu katika uchongaji wa mawe.
Khafre N-W quarry.jpg
harrell-storemyr_fig-24_op.jpg
Unfinished-Obelisk-Large-02.jpg
 
Kinachonifanya nijiulize, tofali moja ni kubwa kweli, waliwezaje kulibeba mpaka kule juu kwenye mapyramid, huu utaalam umenishangaza sana, afu mle kwenye pyramid ukiingia ndani kuna hewa ya kutosha utafikiri upo nje na pia giza totoro, mwizi akiingia kuna mitego ya kumnasa mle, kweli utaalam wa ujenzi ulianzia egypt ukifuatiwa na ile ya great wall ya China.
 
Kinachonifanya nijiulize, tofali moja ni kubwa kweli, waliwezaje kulibeba mpaka kule juu kwenye mapyramid,
Mkuu walitumia akili sana,kwanza kukata jiwe tu ilihitaji maarifa yahali ya juu sana,hata kulisafirisha hadi site.inasemekana walikuwa wakisafirisha kwa kutumia boats.
92845952.jpg
 
Halafu wakifika mwaloni walikuwa wakitumia nyenzo kama hizi.
schlitten-stein2.jpg
jiwe linateleza lenyewe.
 
Hapa utaona ktk michoro wamisri wa kale wakitumia kamba kuvuta mawe yaliyokatwa kwa ustadi mkubwa kabisa.wajenzi asilia ni waafrika
minesandquarries2-1.jpg
 
Mkuu kuna mawe makubwa ya kushangaza yaliyokuwa yamekatwa lakini hayakupata bahati ya kusafirishwa,kwa mfano mnara huu wa obeliski.
d148c8946d5a6a34de2890c7e1d3f65b.jpg
 
Minara ya obeliski asili yake pia ni afrika, na ushahidi tunao.
 
Mkuu walitumia akili sana,kwanza kukata jiwe tu ilihitaji maarifa yali ya juu sana,hala kulisafirisha hadi site.inasemekana walikuwa wakisafirisha kwa kutumia boats.View attachment 434794
Mkuu hawa watu walikuwa mbali, cha kuudhi, zile maujuzi hazitumiki tena dunia ya leo hata utawala wa Kifarao Misri haupo tena
 
Back
Top Bottom