Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu walitumia akili sana,kwanza kukata jiwe tu ilihitaji maarifa yahali ya juu sana,hata kulisafirisha hadi site.inasemekana walikuwa wakisafirisha kwa kutumia boats.Kinachonifanya nijiulize, tofali moja ni kubwa kweli, waliwezaje kulibeba mpaka kule juu kwenye mapyramid,
Mkuu hawa watu walikuwa mbali, cha kuudhi, zile maujuzi hazitumiki tena dunia ya leo hata utawala wa Kifarao Misri haupo tenaMkuu walitumia akili sana,kwanza kukata jiwe tu ilihitaji maarifa yali ya juu sana,hala kulisafirisha hadi site.inasemekana walikuwa wakisafirisha kwa kutumia boats.View attachment 434794