Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuu.Ahsante kwa shule mkuu
Of course maana dunia hii kuna mabadiliko makubwa yalitokea so inaweza pia kuwa sababuMiaka 60,000 inasemekana bahari nyekundu ilikuwa ni lakes ndogo ndogo kama ilivyo leo kwenye bonde la ufa,inawezekana walitembea fukweni huku wakipata kila kitu kutoka baharini
Poa bro.Highly appreciated mkuu imhotep.., in few minutes spent on this thread I happened to learn more about the African History than I did for the few years till graduated O-level.., if you won't mind.., could you please inbox me links to historical books or even PDF if you can...!!!)))
Thank you in advance...!!!)))
Hawa ni Zulu tribe, military technics zao zilikuwa za hali ya juu...mpaka leo bado wanazo hizo mbinu!