Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Ramses_II_at_Kadesh.jpg
Ramasis wa pili akiwatia adabu wahitaiti katika mapigano ya kadesh,inasemekana kadesh ipo baina liban (lebanon) na suria (syria)
 
Hawa ndio wamalaysia asilia,kama wanvyo onekana hakuna mjadala kabisa.
6756297737_538fdce3c8_b.jpg
3b8e89082cc859abd30426af1ce97d49.jpg
11c163b2dfb9d81d3ab5435a9dcda693.jpg
 
Miaka 60,000 inasemekana bahari nyekundu ilikuwa ni lakes ndogo ndogo kama ilivyo leo kwenye bonde la ufa,inawezekana walitembea fukweni huku wakipata kila kitu kutoka baharini
Of course maana dunia hii kuna mabadiliko makubwa yalitokea so inaweza pia kuwa sababu
 
Highly appreciated mkuu imhotep.., in few minutes spent on this thread I happened to learn more about the African History than I did for the few years till graduated O-level.., if you won't mind.., could you please inbox me links to historical books or even PDF if you can...!!!)))
Thank you in advance...!!!)))
 
Poa bro.
 
Shujaa wa kizulu,hawa jamaa waliwafanya waingereza wafikiri mara mbili,waingereza walipewa kichapo kikali mpaka leo vita hii inasomwa katika vyuo vyao vya kijeshi kikiwamo cha sundhurst millitary accademy.
e798ae7a8cfcbdd2cde5f5b474432213.jpg
 
Zulu-the-Most-Fearsome-Black-Warriors-2.jpg
Mashujaa hawa wa kingoni wakiimba nyimbo za kivita.
 
True mkuu!waingereza walifikiri vita na waafrika ni kama kumsukuma mlevi,lakini katika mshangao wao walikula kichapo kizuuri kabisa..teh.teh mkuu nilichokigundua ni kwamba mababu zetu hawakuwa wanafiki kama sisi leo kama vita ni vita hakuna kurudi nyuma.
article-2536544-1A86F9E600000578-547_306x334.jpg
Tazama shujaa huyu wakinguni keshamlaza mwingereza mmoja halafu anamshughulikia mwingine ambae risasi zimemuishia.mkuki unavugumizwa kwenye moyo wa mkoloni huyo.
 
Back
Top Bottom