Video na picha za kinachoendelea maandamano Ufaransa

We na wenzako msiwe mnaandika vitu msivyovijua kupotosha humu,
Hawa walioreport na wanaorusha hizo protests live events ni TBC?
ni
izoo habari zinaoneshwa kiuchache kuliko kawaidaa maandamano yaliyokuwa pale Georgia waliyatangaza mfululizoo ila maandano ya ufaransa yanatangazwa kiuchache kuliko kawaida na vyombo vya habari wanaongelea kuwa sababu ni ongezeko la umri wa kustaafu ila IPO sababu kubwa zaidi ya iyoo ila haisemwi yote ili kulinda yasisambae nchi nyingine za ulaya
 

Sasa kwa mindset hii unayotumia kukoment hapa Jf kwanini usiitwe Tumbili kamna Jaji Werema alivyomuita Yule jamaa?
Utaendelea kuitwa Tumbili na utaitwa zaidi ya ilo jina si kwasababu ya ulivyo bali namna yako ya kufikiri ndiyo inafanya uitwe Tumbili.
Haki ya Mungu tena, Utaendelea kuitwa tumbili!!.

Ufaransa wanaandamana kwasababu serikali yao imeongeza muda wa kustaafu toka miaka 62 hadi 64.
Sasa kwa akili yako ya kitumbili nini kimefanya uwaze kuwa ulaya inaficha maandamano ya ufaransa ili yasisambae ulaya nzima?.

Wafaransa hawaandamani kwasababu ya ukosefu wa ajira ama huduma mbovu za kijamiii, wanaandamana kwasababu ajira zao zimerefushwa toka 62 hadi 64, ila wewe Tumbili unasema ulaya wanaogopa haya maandamano yanaweza kuenea ulaya nzima. Ni lini na umejuaje kuwa ongezeko la miaka 2 katika ajira si hitaji la raia wengine wa nchi za ulaya nje na ufaransa Hivyo hadi useme wapo tayari kuandamana kama wafaransa endapo habari hii itawafikia?.

Kwa akili za kitumbili ndiyo unaamini polisi wa ufaransa wanaweza ua waandamanaji then wakaficha hiyo habari isijulikane.
Kwa akili za kitumbili ndiyo unaamini BBC, CNN, ALJAZIRA, NBC etc hazitangazi maandamano ya ufaransa wakati si wengine tunayapata matangazo kila leo.

Kwa akili za kitumbili ndiyo unaaamini raia wa ulaya hawajui habari ya maandamano ufaransa kwasababu ya vyombo vya habari zimefungwa ila we jamaa wa Ingunga unajua kila hatua ya maandamano hayo.
 
Huyo Jamaa Niwskupuuzwa tu ndugu
 
Imefikia Hatua Polisi wanapigana na Zimamoto
Yaani kwa Bongo Jeshi la Polisi Zipigwe na Jeshi la Zimamoto kisa Maandamano
Yaani Zimamoto wamejumuika Kuandamana Polisi wanawapiga!!
Matukio kama haya BBC kimya
Watakuonyesha Matukio yakawaida tu
Your browser is not able to display this video.
 

When 100 people protest against the Russian, Iranian, or Chinese govts, it's front page news for months, with Hollywood celebrities babbling all sorts of nonsense about "freedom" & "democracy". But when millions protest in France... crickets. Hypocrites.
 

unapaswa kujiuliza kwa nini ilifikia hali hiyo?
je serikali ya iran ilijibu demand ya waandamanaji au iliwazima kwa nguvu ikiwemo kuwaua? Mimi sishabikii ufaransa bali haki ya raia ku elezea matakwa yao na kufanyiwa kazi na sio kuwazima kwa nguvu na kuwaua kama ifanyavyo iran. Acha ushabiki wa kipumbavu.
 
Hapa sio Kenya
Hapa sio Sudan
Hapa sio Iran
Hii ni Ufaransa kule tunakoambiwa Demokrasia Ipo
Kule tunako Ambiwa Kuandamana ni haki ya Raia na wanapaswa kulindwa!!
Yaani Haki yakuandamana ndio hii
Kulindwa Ndio huku?!

Your browser is not able to display this video.
 
Hii Ingekikuwa Ni Venezuela
Nazani BBC,CNN ndio ingelikuwa Habari Masaa 24/7

Your browser is not able to display this video.
 
Huyu sijui kama Mzima Aisee
yapo mengi tunafichwa na Hawa watu

Your browser is not able to display this video.
 
Haya si Maandamano ni Vita

Your browser is not able to display this video.
 
Siamini macho yangu, inakuwaje tena mataifa yanayo jiamanisha na haki za binadamu na demokrasia - mimi nilifiliri picha hizo zimepigwa huko Uchina,Urusi, Iran na Korea Kaskazini - Ufaransa tena haiwezekani, na vyuma vikianza kuuma kwenye mataifa ya Ulaya yaliyo iwekea vikwazo vya Kiuchumi vya kijinga taifa la Urusi, raia wengi wataanza kuingia barabarani na kuandamana with violence- hawawezi kukubali viongozi wao wakubali Mataifa ya Ulaya yakumbwe na mdororo wa kiuchumi kwa kufuata foreign policy za kijinga za Kimerikani za kuzichukia baadhi ya Mataifa ambayo haya kubaliani na siasa zake za uchonganishi na vita.
 
we ndio una akili kuliko media houses zenye tentacles dunia nzima kama hizo ? ,nimekuwekea links za media houses zote kubwa za dunia ambazo ulisema hazijareport , DW ,BBC, cnn ,Reuters ,sky news ,fox news NK wote wamefanya full coverages za masaa zaidi ya nane kwenye hizo links ,we unakuja hapa kubwata bwata ,

Kila kitu kipo kwenye accounts za hizo media houses YouTube na social networks zote ,wamefanya full coverage na wanaendelea kufanya , hizo simu zenu huwa mnazitumia kuangalia porn tu au ?
 
Hii ndio moja Ya Sababu kwanini TikTok wanakomaa Kuifungia

Your browser is not able to display this video.
 
Naona Jamaa wamerudi tena Mtaani
Awamu hii Ufaransa Kazi Anayo
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…