SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Yaani imekuuma Sana Sindio
Yalitokea Maandamano kama hayo Ukrein 2014
Ulisikia Marekani ,France na UK walicho Kisema
Kwanini leo wapo kimya?
Kabisa Yaani Imetumika Mbinyo mkubwa wa Habari kwa kuwa ni waoAisee.
Halafu kuna sehemu humu jamaa ananiambia ohh Tanzania ukiandamana tu Mabuti n.k....na nimemchallenge atizame huko kama hakuna mabuti bunduki mabomu ya machozi n.k... Yaani hizi habari zimefinywa unaona habari za Odinga.
Asante kwa Taarifa
Sawa mimi situmii AkikiMarekani ni nani hata umtumie kama rejea?. Kwangu
Marekani ni nchi kama nchi zingine unani umihumu isifoaa. Odinga anaandana na marekani kasema nini ikiwa hoja ni kusema? Umesikia Ruto akiraum mataifa ya nje kuwa wanawachonganisha wakenya ili waandamane?
Mimi ninaongelea utafauti wa nchi zinazowajibika katika matatizo yake.. Ndiyo maana sijasikia ufaransa wakiraumu mataifa ya nje kuwachonganisha wafaransa waandamane.
Tumia akili.
Ndugu hii Dunia Ina Unafiki sanaAisee.
Halafu kuna sehemu humu jamaa ananiambia ohh Tanzania ukiandamana tu Mabuti n.k....na nimemchallenge atizame huko kama hakuna mabuti bunduki mabomu ya machozi n.k... Yaani hizi habari zimefinywa unaona habari za Odinga.
Asante kwa Taarifa
Ni kipi hujaelewa kwenye koment yangu?.Kinacho Fanywa na Polisi Nisawa
Hilo ndio Muhimu
Ni vyombo vipi hivyo haviripoti wakati mimi ninaifuatilia maandamano kwenye vyombo unavyosema haviripoti.Tunacho Kizungumzia hapa ni
Vyomba vya Mabeberu kuwa kimya
Tunacho Zungumzia Hapa ni Raia Kupigwa Acha Porojo zisizo na Kichwa wala miguu
Si sahihi, ila ondoa wa uwongo wa kuwa bbc, CNN etc haviripoti maandamano ya ufaransa.Sawa mimi situmii Akiki
Je Kinacho Fanywa na Polisi Ufaransa Nisawa?
Hivi we kweli MuelewaNi kipi hujaelewa kwenye koment yangu?.
Maandamano yanaendelea hadi sasa uko ufaransa, vyombo vyote vinaripoti,internet haijazimwa na serikali ya ufaransa sijasikia ikiraumu Iran ama Urusi kusababisha maandamano nchini mwake..hii ni tofauti kabisa endapo maandamano yangelitokea Urusi, China ama Iran mzigo ungelitupiwa nchi za magharibi kuwa zinawachonganisha.
Kwenu maaana sahihi ya maandamano ni kufanyika ulaya na marekani yakitokea nchi zingine inakuwa wamechonganiswa.
Hiki ndicho ninachokisema mimi hayo mengine yatafutia mahari pake.
Hakuna Mgogoro Dunian Ukatokea Hao wasihusikeNi kipi hujaelewa kwenye koment yangu?.
Maandamano yanaendelea hadi sasa uko ufaransa, vyombo vyote vinaripoti,internet haijazimwa na serikali ya ufaransa sijasikia ikiraumu Iran ama Urusi kusababisha maandamano nchini mwake..hii ni tofauti kabisa endapo maandamano yangelitokea Urusi, China ama Iran mzigo ungelitupiwa nchi za magharibi kuwa zinawachonganisha.
Kwenu maaana sahihi ya maandamano ni kufanyika ulaya na marekani yakitokea nchi zingine inakuwa wamechonganiswa.
Hiki ndicho ninachokisema mimi hayo mengine yatafutia mahari pake.
Kwa hiyo maandamano ya Iran hayakuripotiwa na vyombo vya habari?Ni kipi hujaelewa kwenye koment yangu?.