Video na picha za kinachoendelea maandamano Ufaransa

Aisee.
Halafu kuna sehemu humu jamaa ananiambia ohh Tanzania ukiandamana tu Mabuti n.k....na nimemchallenge atizame huko kama hakuna mabuti bunduki mabomu ya machozi n.k... Yaani hizi habari zimefinywa unaona habari za Odinga.

Asante kwa Taarifa
 
Yaani imekuuma Sana Sindio
Yalitokea Maandamano kama hayo Ukrein 2014
Ulisikia Marekani ,France na UK walicho Kisema
Kwanini leo wapo kimya?

Marekani ni nani hata umtumie kama rejea?. Kwangu
Marekani ni nchi kama nchi zingine unani umihumu isifoaa. Odinga anaandana na marekani kasema nini ikiwa hoja ni kusema? Umesikia Ruto akiraum mataifa ya nje kuwa wanawachonganisha wakenya ili waandamane?
Mimi ninaongelea utafauti wa nchi zinazowajibika katika matatizo yake.. Ndiyo maana sijasikia ufaransa wakiraumu mataifa ya nje kuwachonganisha wafaransa waandamane.
Tumia akili.
 
Aisee.
Halafu kuna sehemu humu jamaa ananiambia ohh Tanzania ukiandamana tu Mabuti n.k....na nimemchallenge atizame huko kama hakuna mabuti bunduki mabomu ya machozi n.k... Yaani hizi habari zimefinywa unaona habari za Odinga.

Asante kwa Taarifa
Kabisa Yaani Imetumika Mbinyo mkubwa wa Habari kwa kuwa ni wao
 
Marekani ni nani hata umtumie kama rejea?. Kwangu
Marekani ni nchi kama nchi zingine unani umihumu isifoaa. Odinga anaandana na marekani kasema nini ikiwa hoja ni kusema? Umesikia Ruto akiraum mataifa ya nje kuwa wanawachonganisha wakenya ili waandamane?
Mimi ninaongelea utafauti wa nchi zinazowajibika katika matatizo yake.. Ndiyo maana sijasikia ufaransa wakiraumu mataifa ya nje kuwachonganisha wafaransa waandamane.
Tumia akili.
Sawa mimi situmii Akiki
Je Kinacho Fanywa na Polisi Ufaransa Nisawa?
 
Aisee.
Halafu kuna sehemu humu jamaa ananiambia ohh Tanzania ukiandamana tu Mabuti n.k....na nimemchallenge atizame huko kama hakuna mabuti bunduki mabomu ya machozi n.k... Yaani hizi habari zimefinywa unaona habari za Odinga.

Asante kwa Taarifa
Ndugu hii Dunia Ina Unafiki sana
Hali kama Hii Ingelikuwa Shida sana Nje ya Nchi hizo
 
Kinacho Fanywa na Polisi Nisawa
Hilo ndio Muhimu
Ni kipi hujaelewa kwenye koment yangu?.

Maandamano yanaendelea hadi sasa uko ufaransa, vyombo vyote vinaripoti,internet haijazimwa na serikali ya ufaransa sijasikia ikiraumu Iran ama Urusi kusababisha maandamano nchini mwake..hii ni tofauti kabisa endapo maandamano yangelitokea Urusi, China ama Iran mzigo ungelitupiwa nchi za magharibi kuwa zinawachonganisha.
Kwenu maaana sahihi ya maandamano ni kufanyika ulaya na marekani yakitokea nchi zingine inakuwa wamechonganiswa.
Hiki ndicho ninachokisema mimi hayo mengine yatafutia mahari pake.
 
Hivi we kweli Muelewa
Nimeuliza Kinacho fanywa na Polisi Nisawa
Au Haki za Raia Zinafuatwa kwenye Hayo Maandamano?
 
Ni kipi hujaelewa kwenye koment yangu?.

Maandamano yanaendelea hadi sasa uko ufaransa, vyombo vyote vinaripoti,internet haijazimwa na serikali ya ufaransa sijasikia ikiraumu Iran ama Urusi kusababisha maandamano nchini mwake..hii ni tofauti kabisa endapo maandamano yangelitokea Urusi, China ama Iran mzigo ungelitupiwa nchi za magharibi kuwa zinawachonganisha.
Kwenu maaana sahihi ya maandamano ni kufanyika ulaya na marekani yakitokea nchi zingine inakuwa wamechonganiswa.
Hiki ndicho ninachokisema mimi hayo mengine yatafutia mahari pake.
Hakuna Mgogoro Dunian Ukatokea Hao wasihusike
Hao ni Vihelehele kwa Yasio wahusu
Ndio maana wanalalamikiwa
Uchina Urusi Hawanaga Muda na Mambo yasio Wahusu ndio Maana Wanapigania Uhuru wa Dunia yaani kila Taifa liwe na Uhuru wake kamili sio kupangiana.
Yanapo tokea maandamano Kwingine hao huwa wakwanza Kutoa matamko kutwa
 
Ni kipi hujaelewa kwenye koment yangu?.

Maandamano yanaendelea hadi sasa uko ufaransa, vyombo vyote vinaripoti,internet haijazimwa na serikali ya ufaransa sijasikia ikiraumu Iran ama Urusi kusababisha maandamano nchini mwake..hii ni tofauti kabisa endapo maandamano yangelitokea Urusi, China ama Iran mzigo ungelitupiwa nchi za magharibi kuwa zinawachonganisha.
Kwenu maaana sahihi ya maandamano ni kufanyika ulaya na marekani yakitokea nchi zingine inakuwa wamechonganiswa.
Hiki ndicho ninachokisema mimi hayo mengine yatafutia mahari pake.
Kwa hiyo maandamano ya Iran hayakuripotiwa na vyombo vya habari?

Iran ilisema nchi za Magharibi zinahusika na maandamano kwasababu nchi zote za Magharibi zilitoa tamko la kuunga mkono waandamanaji lakini mpaka sasa hatujasikia Iran ikiwaunga mkono waandamanaji wa ufaransa.
 
Ni vyombo vipi hivyo haviripoti wakati mimi ninaifuatilia maandamano kwenye vyombo unavyosema haviripoti.
Mnatia huruma..
Hii ni tbc ama itv?

Tusaidie kumjibu huyu hili swali
Screenshot_20230326-122111.png
 
Back
Top Bottom