Video: Nabii Olivia asikika akimpanga muumini apige kelele kuashiria anatolewa mapepo

Video: Nabii Olivia asikika akimpanga muumini apige kelele kuashiria anatolewa mapepo

makanisa mengi zaidi yafunguliwe, manabii, mitume, wachungaji wemhi zaid waibuke! waje! hata Albert Einstein alisema dini ni kilevi cha fikra so watajijua hao watakaoamini
 
Kuna mwingine huwa anakuwepo radio Times usiku akijifanya kutoa mapepo,yani ni usanii usiomithilika😀
 
Back
Top Bottom