Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamwe hawatakaa waelewe. Ni wajinga wa kuliwa tu!Na bado mijinga imejaa kule nyuma imekaa tu. Ila ipo siku wataelewa tu.
In Shaa Allah.
kama huyu kashapiga sana sadaka za watuDah hela zinatafutwa jamani
Mimi ni mkristo lkn dini ya kiislam naikubali sana
hainaga mambo mengi.