johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe hujui kuwa kakobe na gwajima ni wajumbe wa kamati kuu ya Chadema!!!Yaani hawa waumini waliokaa huko nyuma hawana tofauti na wafuasi wa ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hujui kuwa kakobe na gwajima ni wajumbe wa kamati kuu ya Chadema!!!Yaani hawa waumini waliokaa huko nyuma hawana tofauti na wafuasi wa ccm
Hapo mwanzoni tu mkuu alijisahau akaweka mic karibu anamwambia lia kwa nguvu,piga kelele .Angempanga kabla hajaja kule mbele .ahaa haaa wanaumbukaaaa kama nene.ndo maana mimi kwenye mambo ya makanisa naiweka akili yangu timamu muda wote sidanganyikiiii na hawa wahubirI Wengine wanaenda pale mbele akati anakuombea anakupush ili uanguke.sitaki.mtu aniguse mimi kabisa.JAMANI.TUJIFUNZE KUOMBA NA KUJIOMBEA WENYEWE KAM NI BIBILIA AMA QUR'AN TUSOME WENYEWE TULIJUE NENO LA MUNGU NALO LIKAE NDANI YETU.Naona kuna kitu kimenipita sijapaona anapompanga naomba unionyeshe.
Duuuh...mi sikuwa huko mkuu, ni vile tu nilijaribu kumuelewesha jamaa kuwa kila upande una madhira yake, upande unaouzungumzia wewe pia una madhira lukuki, una madhehebu lukuki, ni vile tu wanajificha kwenye lugha ngeni na kujaribu kulazimisha watu waamini wanachotaka wao.Keshawafahamu. Wewe tu na shetani wako wa kikrisro kichwani anayetaka uende motoni ndio hutaki kuujua uislam.
Tatizo unasoma quran kwenye mtandao ambao wamechomeka maandishi ya uongo kuhusu uislam.
Mara muwaite wauaji.....wakati muuaji mkubwa mnaye hukohuko kwenye ukristo....
Dini ya uongo tumeiona. Walianza kurudanganya kusulubiwa kwa Yesu kitu ambacho ni uongo mkubwa..kisha sasa hivi wanadanganya kutoa majini mahaba kwa udanganyifu! Wauaji wakubwa maana kuna watu wanauguliwa kweli sasa ukiitegemea hii dini ya kisanii kwa kutumaini mwanao ataombewa apone kumbe ni usanii mtupu utaua watu!Duuuh...mi sikuwa huko mkuu, ni vile tu nilijaribu kumuelewesha jamaa kuwa kila upande una madhira yake, upande unaouzungumzia wewe pia una madhira lukuki, una madhehebu lukuki, ni vile tu wanajificha kwenye lugha ngeni na kujaribu kulazimisha watu waamini wanachotaka wao.
Swali dogo tu, kwanini isifanyike tafsiri anuai na maalumu ili kila anayejiita wa upande ule apate darsa?
Kinyume na hapo, upande ule ubaki kuwa wa kabila lile tu ambalo linazungumza karibu sawa na maandishi yale.
Yote katika yote, hakuna mDanganyika wa kujifanya anaujuaji sana wa mambo ya kuletewa kuliko mwingine, zaidi ni busara kila mtu ajaribu kumalizana na ya ndani kwake kwanza kabla ya kuhamia upande mwingine.
hahahahahhhahahwewe kama mimi... hasa harusi na misiba.. hapo nawakubali sana waislam... akitokea shehe feki wanamcharaza bakora
Hapo mwanzoni tu mkuu alijisahau akaweka mic karibu anamwambia lia kwa nguvu,piga kelele .Angempanga kabla hajaja kule mbele .ahaa haaa wanaumbukaaaa kama nene.ndo maana mimi kwenye mambo ya makanisa naiweka akili yangu timamu muda wote sidanganyikiiii na hawa wahubirI Wengine wanaenda pale mbele akati anakuombea anakupush ili uanguke.sitaki.mtu aniguse mimi kabisa.JAMANI.TUJIFUNZE KUOMBA NA KUJIOMBEA WENYEWE KAM NI BIBILIA AMA QUR'AN TUSOME WENYEWE TULIJUE NENO LA MUNGU NALO LIKAE NDANI YETU.
Ahaaaa aaa ahaaaa au wewee ndo mwenyewe nabii Olivia hukujua kama unasikikaaa pole uMhhhhhhhhhhhh!
Kuna mzee namfahamu huwa akienda kanisani, anachungulia siku hiyo anahubiri nani, akisikia sauti ya kike tu, huwa anaondoka au wakati wa mahubiri anasinzia kabisa. Alinipa sababu za kwanini anapinga wanawake kuhudumu mimbarani nikazielewa.Hivi wakati wa yesu wanawake hawakuwepo kama walikuwepo mbona kati ya wanafunzi 12 wa yesu hakukua na mwanamke hata mmoja hawa wanawake wanaojiita wachungaji wanaitoa wapi/wanachukulia mfano gani?
Ina maana yesu alikua mbaguzi? Aliendekeza mfumo dume? hapana,ipo hekima.
Sio kama hawana uwezo,la! ila sio kazi yao wana namna nyingi ya kulitangaza neno la Mungu na sio lakini sio hii wanayoitumia.
Mushkeli unaanzia hapo,kwa upande wangu.
Pole.Dini ya uongo tumeiona. Walianza kurudanganya kusulubiwa kwa Yesu kitu ambacho ni uongo mkubwa..kisha sasa hivi wanadanganya kutoa majini mahaba kwa udanganyifu! Wauaji wakubwa maana kuna watu wanauguliwa kweli sasa ukiitegemea hii dini ya kisanii kwa kutumaini mwanao ataombewa apone kumbe ni usanii mtupu utaua watu!
Pole sana wakristo....Pole.
Ipo weak kuliko ile dini ya magaidi??Bado nakomaa tu japo wengi mtatoka povu hii dini iko weak sana sana.
Ipo weak kuliko ile dini ya magaidi??