Video: Nabii Olivia asikika akimpanga muumini apige kelele kuashiria anatolewa mapepo

Naona kuna kitu kimenipita sijapaona anapompanga naomba unionyeshe.
Hapo mwanzoni tu mkuu alijisahau akaweka mic karibu anamwambia lia kwa nguvu,piga kelele .Angempanga kabla hajaja kule mbele .ahaa haaa wanaumbukaaaa kama nene.ndo maana mimi kwenye mambo ya makanisa naiweka akili yangu timamu muda wote sidanganyikiiii na hawa wahubirI Wengine wanaenda pale mbele akati anakuombea anakupush ili uanguke.sitaki.mtu aniguse mimi kabisa.JAMANI.TUJIFUNZE KUOMBA NA KUJIOMBEA WENYEWE KAM NI BIBILIA AMA QUR'AN TUSOME WENYEWE TULIJUE NENO LA MUNGU NALO LIKAE NDANI YETU.
 
Keshawafahamu. Wewe tu na shetani wako wa kikrisro kichwani anayetaka uende motoni ndio hutaki kuujua uislam.
Tatizo unasoma quran kwenye mtandao ambao wamechomeka maandishi ya uongo kuhusu uislam.
Mara muwaite wauaji.....wakati muuaji mkubwa mnaye hukohuko kwenye ukristo....
Duuuh...mi sikuwa huko mkuu, ni vile tu nilijaribu kumuelewesha jamaa kuwa kila upande una madhira yake, upande unaouzungumzia wewe pia una madhira lukuki, una madhehebu lukuki, ni vile tu wanajificha kwenye lugha ngeni na kujaribu kulazimisha watu waamini wanachotaka wao.

Swali dogo tu, kwanini isifanyike tafsiri anuai na maalumu ili kila anayejiita wa upande ule apate darsa?

Kinyume na hapo, upande ule ubaki kuwa wa kabila lile tu ambalo linazungumza karibu sawa na maandishi yale.

Yote katika yote, hakuna mDanganyika wa kujifanya anaujuaji sana wa mambo ya kuletewa kuliko mwingine, zaidi ni busara kila mtu ajaribu kumalizana na ya ndani kwake kwanza kabla ya kuhamia upande mwingine.
 
Dini ya uongo tumeiona. Walianza kurudanganya kusulubiwa kwa Yesu kitu ambacho ni uongo mkubwa..kisha sasa hivi wanadanganya kutoa majini mahaba kwa udanganyifu! Wauaji wakubwa maana kuna watu wanauguliwa kweli sasa ukiitegemea hii dini ya kisanii kwa kutumaini mwanao ataombewa apone kumbe ni usanii mtupu utaua watu!
 
hahahaha dah,,,wakimwengu,,,wanamambo,,,,eti lia kwa nguvu,,,duh mungu anatuona
 
Hapo mwanzoni tu mkuu alijisahau akaweka mic karibu anamwambia lia kwa nguvu,piga kelele .Angempanga kabla hajaja kule mbele .ahaa haaa wanaumbukaaaa kama nene.ndo maana mimi kwenye mambo ya makanisa naiweka akili yangu timamu muda wote sidanganyikiiii na hawa wahubirI Wengine wanaenda pale mbele akati anakuombea anakupush ili uanguke.sitaki.mtu aniguse mimi kabisa.JAMANI.TUJIFUNZE KUOMBA NA KUJIOMBEA WENYEWE KAM NI BIBILIA AMA QUR'AN TUSOME WENYEWE TULIJUE NENO LA MUNGU NALO LIKAE NDANI YETU.

Mhhhhhhhhhhhh!
 
Hivi wakati wa yesu wanawake hawakuwepo kama walikuwepo mbona kati ya wanafunzi 12 wa yesu hakukua na mwanamke hata mmoja hawa wanawake wanaojiita wachungaji wanaitoa wapi/wanachukulia mfano gani?

Ina maana yesu alikua mbaguzi? Aliendekeza mfumo dume? hapana,ipo hekima.
Sio kama hawana uwezo,la! ila sio kazi yao wana namna nyingi ya kulitangaza neno la Mungu na sio lakini sio hii wanayoitumia.

Mushkeli unaanzia hapo,kwa upande wangu.
Kuna mzee namfahamu huwa akienda kanisani, anachungulia siku hiyo anahubiri nani, akisikia sauti ya kike tu, huwa anaondoka au wakati wa mahubiri anasinzia kabisa. Alinipa sababu za kwanini anapinga wanawake kuhudumu mimbarani nikazielewa.

Miaka ya nyuma makanisa mengi hayakuwa na huu utaratibu ila baada ya ubeijing kuja uvamizi ukaingia mpaka mimbarani.

Moja ya sababu alizonipa ni kuwa kutokana na mifumo ya wanawake ya kimwili ilivyo, ni ngumu sana wao kufit kupanda mimbarani, kwani kuna nyakati wanakuwa sio wasafi. Hapo anasema ni kosa kupanda mimbarani katika hiyo hali.

Kwa sababu hizo, zilizotolewa ambazo naziona ni za msingi sana napata ukakasi ni kwa nini viongozi wa dini waliruhusu wanawake kuhudumu mimbarani.
 
ulimi uliteleza mwenyewew amesema ...n a alimwambia yule dad apige kelele ili atoe uchungu uliokua ndani yake ..
 
Dini ya uongo tumeiona. Walianza kurudanganya kusulubiwa kwa Yesu kitu ambacho ni uongo mkubwa..kisha sasa hivi wanadanganya kutoa majini mahaba kwa udanganyifu! Wauaji wakubwa maana kuna watu wanauguliwa kweli sasa ukiitegemea hii dini ya kisanii kwa kutumaini mwanao ataombewa apone kumbe ni usanii mtupu utaua watu!
Pole.
 
Back
Top Bottom