regime ya tanzagiza haijali, iko kwa ajili ya kulinda power ya watawala basi lkn maisha ya mtanzagiza hayana thamani kabisa, polisi kazi yao ni kuwinda wanaoposti mitandaoni na kuwapa kuwaita magaidi lkn usalama wa raia, raia watajijua wenyewe, this regime got to go, man ...