Video: Netanyahu ahutubia viti vitupu wajumbe wengi wasusa kumsikiliza

Video: Netanyahu ahutubia viti vitupu wajumbe wengi wasusa kumsikiliza

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,840
Reaction score
8,202
Idadi kubwa ya wajumbe wa Umoja wa Mataifa walitoka nje ya ukumbi wakati Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alipoanza kutoa hotuba yake katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa uliowakutanisha viongozi wa mataifa mbalimbali Septemba 24, 2025.

Netanyahu aliwaita walioondoka kuwa “waoga kimaadili”, huku akiwaambia wengine ambao walikuwa na mtazamo kama huo kuondoka pia kabla hajaanza kuzungumza.

Netanyahu mpaka aibu



Dozens of delegates at ‌the United Nations walked out of the hall when Israeli ⁠Prime Minister Benjamin Netanyahu began his speech to the General Assembly meeting of world leaders ‌on ⁠Thursday.

Describing them as "moral cowards," he asked for anybody ⁠else who felt that way to ⁠leave before he began ⁠to talk.


Source: Reuters
 
He speaks to empty chairs… nobody can entertain the lies any more.but I can’t help thinking, if this is how they all feel, then why is there no action? All that is required for evil to flourish is for good men to do nothing

Netanyahu mpaka aibu
Endelea kuteseka na Taifa teule!!!!
 

Attachments

  • Screenshot_20260702-104255.jpg
    Screenshot_20260702-104255.jpg
    136 KB · Views: 18
He speaks to empty chairs… nobody can entertain the lies any more.but I can’t help thinking, if this is how they all feel, then why is there no action? All that is required for evil to flourish is for good men to do nothing

Netanyahu mpaka aibu
Waislam achaneni na mpango wa kuifuta Israel
 
He speaks to empty chairs… nobody can entertain the lies any more.but I can’t help thinking, if this is how they all feel, then why is there no action? All that is required for evil to flourish is for good men to do nothing

Netanyahu mpaka aibu
Baada ya kutoka nje... Waliingia mtandaoni kuitizama hotuba kujua kasemaje, wataanza chokochoko mbeleni kwa kile walichosikia, hata baada ya kutoka ukumbini,.meseji received
 
He speaks to empty chairs… nobody can entertain the lies any more.but I can’t help thinking, if this is how they all feel, then why is there no action? All that is required for evil to flourish is for good men to do nothing

Netanyahu mpaka aibu
 

Attachments

  • c41e1b6695af3e46de797921df634686.mp4
    2.1 MB
🇮🇱 A huge chunk of the world walked out of the UN hall before Netanyahu’s speech.

This map shows the countries that left, stretching across Latin America, Africa, the Middle East, and parts of Europe and Asia.

Brutal visual.
IMG_7446.jpeg
 
“Kabla sijaanza kuhutubia nina tangazo la haraka nataka kulitoa ni kwamba kama kuna Waoga waoga na Wajinga waso na maadili ambao wapo humu ndani bado hawajatoka basi tokeni hivi sasa”

- Benjamin Netanyau, Waziri Mkuu wa Israel 🇮🇱 hapo jana kwenye Umoja wa Mataifa.
 
Ukweli kwamba wajumbe wengi walitoka nje ya ukumbi wakati Waziri Mkuu wa Israel alipokuwa akitoa hotuba yake si jambo dogo. Ni ujumbe mzito wa kulaani kidiplomasia.

Ujumbe wao uko wazi kabisa: maneno yake hayana tena uaminifu. Sera zake zimekataliwa na kutengwa kwake kimataifa kunazidi kuongezeka.

Jumuiya ya kimataifa haiko tayari kukaa na kumsikiliza kiongozi ambaye anadaiwa kukosa uhalali wa kimaadili, na ambaye yuko chini ya hati ya ICC ya kukamatwa kwa tuhuma za uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu.

Madai yake ya uongo yanaonekana kuwa juhudi za kukata tamaa majaribio yasiyo na msingi ya kuficha kile kinachoelezwa kuwa mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel huko Gaza, pamoja na mashambulizi yake yasiyokoma katika Ukingo wa Magharibi, Lebanon, Syria na maeneo mengine.

Hakuna propaganda inayoweza kuufuta ukweli.

Maelfu ya raia wameuawa, nyumba na hospitali zimebomolewa na kubaki magofu, shule zimeripotiwa kulengwa kwa makusudi na misaada ya kibinadamu imezuiwa kwa makusudi.
ni jinai ambazo hazitasahaulika wala kusamehewa.
Tunavyosoma habari za kina Hitler na Mussolini huu ni ukweli tunaoushi
 
Back
Top Bottom