Video: Netanyahu ahutubia viti vitupu wajumbe wengi wasusa kumsikiliza

He speaks to empty chairs… nobody can entertain the lies any more.but I can’t help thinking, if this is how they all feel, then why is there no action? All that is required for evil to flourish is for good men to do nothing

Netanyahu mpaka aibu
Mkuu niazime dictionary kwanza maana huu ung'eng'e naona vumbi tu.
 
Kwa hiyo Allah ameshindwa kufanya kitu kabisa, mpaka albadir imeshindikana kufanya kitu kwa hawa huyu mtu??
 
Wanafiki wote wametoka nje.
Waliobaki ni wale wanaokubali kusikia ukweli kama ulivyo
 
Idadi kubwa ya wajumbe wa Umoja wa Mataifa walitoka nje ya ukumbi wakati Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alipoanza kutoa hotuba yake katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa uliowakutanisha viongozi wa mataifa mbalimbali Septemba 24, 2025.

Netanyahu aliwaita walioondoka kuwa “waoga kimaadili”, huku akiwaambia wengine ambao walikuwa na mtazamo kama huo kuondoka pia kabla hajaanza kuzungumza.

Netanyahu mpaka aibu

Dozens of delegates at ‌the United Nations walked out of the hall when Israeli ⁠Prime Minister Benjamin Netanyahu began his speech to the General Assembly meeting of world leaders ‌on ⁠Thursday.

Describing them as "moral cowards," he asked for anybody ⁠else who felt that way to ⁠leave before he began ⁠to talk.

Source: Reuters
Hawa jamaa wana arrogance ya kishetani kabisa aisee, no wonder kuna dini zinamuita mtoa roho kwa jina lao.
 
Idadi kubwa ya wajumbe wa Umoja wa Mataifa walitoka nje ya ukumbi wakati Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alipoanza kutoa hotuba yake katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa uliowakutanisha viongozi wa mataifa mbalimbali Septemba 24, 2025.

Netanyahu aliwaita walioondoka kuwa “waoga kimaadili”, huku akiwaambia wengine ambao walikuwa na mtazamo kama huo kuondoka pia kabla hajaanza kuzungumza.

Netanyahu mpaka aibu

Dozens of delegates at ‌the United Nations walked out of the hall when Israeli ⁠Prime Minister Benjamin Netanyahu began his speech to the General Assembly meeting of world leaders ‌on ⁠Thursday.

Describing them as "moral cowards," he asked for anybody ⁠else who felt that way to ⁠leave before he began ⁠to talk.

Source: Reuters
Yani jamaa hata ukimuangalia uso wake wa kukata tamaa. Pia mada zake ni zile zile siku zote hazina mashiko. Viongozi washaanza kumuona hana la maana ndio maana hawamsikilizi tena. Na hapa ni EU na USA ndio wanamkingia kifua,siku hayo mataifa nayo yakiacha kumkingia kifua Israel itaanguka vibaya sana.
 
Endelea kujifariji.
Kama operesheni ya siku 12 Trump ilibidi aingilie kati na wale ni akina mama wa Zahra Battalion.

Nataka nione sio kusikia story za NETFLIX MOSSAD.
Kwa hiyo Allah ameshindwa kufanya kitu kabisa, mpaka albadir imeshindikana kufanya kitu kwa hawa huyu mtu??
 
We kenge msafisha vyoo Tela Aviv anzeni kusafisha vyoo karibu Hezbullah atakinukisha huko
Kwa hiyo Allah ameshindwa kufanya kitu kabisa, mpaka albadir imeshindikana kufanya kitu kwa hawa huyu mtu??

Yani jamaa hata ukimuangalia uso wake wa kukata tamaa. Pia mada zake ni zile zile siku zote hazina mashiko. Viongozi washaanza kumuona hana la maana ndio maana hawamsikilizi tena. Na hapa ni EU na USA ndio wanamkingia kifua,siku hayo mataifa nayo yakiacha kumkingia kifua Israel itaanguka vibaya sana.
Kwa hiyo Allah ameshindwa kufanya kitu kabisa, mpaka albadir imeshindikana kufanya kitu kwa hawa huyu mtu??

Attachments

  • Screenshot_20261001-042559.jpg
    Screenshot_20261001-042559.jpg
    251.2 KB · Views: 9
Back
Top Bottom